Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu kama unasukuma kete yani
 
Unajua Aswan High Dam...inavyosaidia kwenye irrigation ya Egypt....achana na umeme maana thats just a pinch...wanaitumia sana..kwa irrigation..inaweza tunza maji hata ya miaka miwili...sasa je Ethiopia ikirudisha bomb..aswan..si hasara na ukame
 
Hiyo Aswan dam itapata maji toka wapi kama Ethiopia wataendelea kujaza hilo bwawa lao?.

Kuhusu Ethiopia kulishambulia Aswan dam, Ethiopia haina uwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Egypt, ni sawa na kusema Tanzania tuna uwezo wa kulipua Victoria Falls, hatuna ndege wala Ballistic missiles zenye uwezo za kufika huko.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa. Sitaki kuargue kuhusu jambo hili. Amini unachotaka na mimi nitaamini ninachotaka. Kwenye hii debate hakuna anayekubali kushindwa.
 
Kwan unahisi ethiopia hana Fighter jets..? ..wote egypt na Ethiopia wanazo...ndo hvyo ni swala la ku negotiate sio vita...egypt akimwaga mboga/ugali ethiopia hatokubali watafanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…