Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona hii [emoji116] ? 2026 inafunguliwa nothing is impossible Kwa hawa jamaa pretty soon tutaskia Beijing-Tokyo bridge!

Yaani sisi tunapigana kujenga barabara zetu zenye vumbi you hao uko walishatoka wanapita chini kwa chini baharini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna wazushi wanajenga elevated highway km 11tu washaanza kusema watakua level moja na hao jamaa...

cc wakenya aliewaloga alikua fundi
 
Mchina keshawapiga!
 
Jana niliona vikosi vya wazee vikipita pale Tazara vinaelekea kusini nadhani ndiyo wanaenda kumaliza mchezo na hutasikia ***** ***** [emoji3][emoji3][emoji3]
 
kumbe umetumana picha za mitaa yote mwanza hakuna estates za upper class hko[emoji23][emoji23][emoji23]
Manake naona nyumba za kawaida tu

Kati ya hzo ni gani unaikubali tuishindanishe na mtaa wa kawaida tu mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]
so tumemaliza kwneye suburb tayarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bigger kisumu slum and highest notch poverty, mud houses and iron sheets cages are rampant here at the middle of the 'city'

Sijawahi kuona mud houses na nyumba za bati katikati ya JIJI lolote Tanzania

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…