Hyo ni barabara gani eri mchana watu hawafiki hata watano, huyo alo post atakua siku hyo kakosa hata pesa ya boda kumtoa main road ndio akaamua kutembeakuforce mm ni ujinga unaona kabisa watu wanapita unataka kusema watu wawili wanapita ww ndio hua unahesabu watu kupita, kubali changamoto kenge ww
Pamoja na uvivu wetu wote tulionao lakini hatujawahi kufika hii stage ya uvivu wa akili ๐ฒ๐ฒ๐ฒ"Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.
Vile nawajua hawa watu, ni uvivu wa kutegemea serikali ifanye kila kitu ndiyo imewafikisha hapa. Mtanzania wa kawaida siyo mtu wa kujituma ama mwenye bidii. Yeye ni angoje apate muhogo na maharage tosha." Kevin85ify
๐น๐น๐น
CC: MATAGA Naton Jr Geza Ulole ichoboy01
Kwaherini
kuna nchi haijaathirika kweli just be frank ikiwa nchi zimeenda lock down unategemea nn kwa kutumia akili na sio kinyesi ๐๐๐ taja nchi dunini haijaathirika kiuchumi na janga hiliWallah? Sikutambua TZ imeathirika na janga hili kwa vile mlivyoturingia jinsi hamna corona. Jinsi uchumi wenu utaipiku ya Kenya kisa athari za corona. Doooh, kwa hivyo mmeathirika? Aisee JF rahaa, silipiii Netflix ๐น
Haki ya nani SGR ya Kenya (which is equivalent to our upgraded MGR) wakiiwekea umeme nakwambia kuna hawa akina festo, Komora, asvptx, Teargear & Co. Ltd watapanda uchi kwenye nguzo za umeme za reli kupiga picha ili tu tuone kweli wana reli ya umeme! ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Naona reli ya kuni apo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1605990
Hahaha nashangaa leo hii mmeathirika na corona ila mlikua humu mkiwika hamna corona. Sasa mmeathirika vipi kwa chanzo msichokijua? Halafu bado mkapeleka bakuli msaidiwe? ๐น๐น JF rahaa yaani.kuna nchi haijaathirika kweli just be frank ikiwa nchi zimeenda lock down unategemea nn kwa kutumia akili na sio kinyesi ๐๐๐ taja nchi dunini haijaathirika kiuchumi na janga hili
๐๐๐น maskini akipata MATAKO hulia MBWATA. Unatia huruma. Yaani ujenzi wowote tuu na mshakuwa superpower? ๐น๐นinajulikana tu ni Wapi hapa? I Hivi Raisi mwenye Sauti kuu hapa East Africa ni nani Hahahahaa?? View attachment 1606128View attachment 1606129View attachment 1606130View attachment 1606131View attachment 1606132View attachment 1606133
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tumia akili wewe, yeye anazungumzia kuathirika kiuchumi.Hahaha nashangaa leo hii mmeathirika na corona ila mlikua humu mkiwika hamna corona. Sasa mmeathirika vipi kwa chanzo msichokijua? Halafu bado mkapeleka bakuli msaidiwe? [emoji81][emoji81] JF rahaa yaani.
Hatuna ulimbukeni kama nyie. Si ni nyinyi mlikimbia kulaki mindege yenu airport? ๐น๐น๐นHaki ya nani SGR ya Kenya (which is equivalent to our upgraded MGR) wakiiwekea umeme nakwambia kuna hawa akina festo, Komora, asvptx, Teargear & Co. Ltd watapanda uchi kwenye nguzo za umeme za reli kupiga picha ili tu tuone kweli wana reli ya umeme! ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
hatujaathirika kwa maana corona ipo kwetu hakuna isipokua hata watalii wamepungua na bishara pia zimepungua na sio kwamba corona ipo tanzania hakuna my friend sisi tupo na tunaendelea na maisha kama kawa ๐๐๐ na zile dua zenu sijui zilifkia wapiHahaha nashangaa leo hii mmeathirika na corona ila mlikua humu mkiwika hamna corona. Sasa mmeathirika vipi kwa chanzo msichokijua? Halafu bado mkapeleka bakuli msaidiwe? ๐น๐น JF rahaa yaani.
kama sio watu hao basi watakua ni ngโombe hope we are clear ๐๐๐๐Hyo ni barabara gani eri mchana watu hawafiki hata watano, huyo alo post atakua siku hyo kakosa hata pesa ya boda kumtoa main road ndio akaamua kutembea
corona imewarudisha kwenye negative growing economy๐๐๐Hatuna ulimbukeni kama nyie. Si ni nyinyi mlikimbia kulaki mindege yenu airport? ๐น๐น๐น
Kenya hatuna ulemavu wa kiakili. Sisi vitu huundwa, tunahoji na maisha yanaendelea ki kawaida tu. Nyinyi hadi mnasherekea kuwa na mabilionea wengi kuliko nchi nyingine ni kama pesa za hao mabilionea ni pesa ya kijamii. Ushoshalisti uliwadumaa akili kiukweli.
Halafu unadhihirisha udumavu wa akili kulinganisha SGR na MGR. TOTALLY DIFFERENT things, ila tunawavumilia kwa sababu ya ukosefu wa exposure.Haki ya nani SGR ya Kenya (which is equivalent to our upgraded MGR) wakiiwekea umeme nakwambia kuna hawa akina festo, Komora, asvptx, Teargear & Co. Ltd watapanda uchi kwenye nguzo za umeme za reli kupiga picha ili tu tuone kweli wana reli ya umeme! ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Kwa hivyo? Hilo lilishabainika pindi janga lilipo jitokeza. Na usishtuke kuskia uchumi wetu ulikua wakati huu wa corona kwa sababu waKenya si wazembe kama nchi fulani. Mwishowe tunaelekea kuwa double kiuchumi na msipochunga tutawatriple mkiimba nyimbo za kuipiku Kenya ๐น๐น๐นcorona imewarudisha kwenye negative growing economy๐๐๐
maskini ya Mungu refuebrished DMU ๐๐๐๐๐๐๐Nairobi Commuter Rail service almost ready to be launched๐
Hapa yafanyiwa tests
Mataga wa Ccm, sisi twangoja zile zenu kutoka South Korea ziingie nchini
PoleniTumia akili wewe, yeye anazungumzia kuathirika kiuchumi.