The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Nilimuwekea hiki chuma eti akasema nimeiba picha ya ulaya nikaedit [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo nnayemuonea huruma ni Teargass mana huwa hapendi kukubali inafikia kipindi huwa analia kabisa anapoona kenya imepitwa, mfano juzi alilia humu baada ya kugundua ukweli kwamba jeshi letu linatumia helicopters ambazo zinatumiwa na jeshi la Marekani [emoji3][emoji3][emoji3]
Sio hi Bali ni model ya "Hyundai Rotem HRCS2"I posted hii long ago "Hyundai Rotem"
View attachment 1604443
Yaani hii ndio habari ya MUJINI.
kitambo nimepost hiii.
Very local. Jua kali like. Just like a kibanda. Very disappointing.
Alisikika a disgruntled Mkunya mmoja!Very local. Jua kali like. Just like a kibanda. Very disappointing.
Compared with Nairobi or Mombasa stations.
And again, the cost of the project is going higher as the contract for the trains was not included in the earlier figures. Now contracted to South Korea.
Tanzania may end up paying dearly.
View attachment 1604468View attachment 1604469View attachment 1604470View attachment 1604471
Ni model ya Hyundai Rotem HRCS2Ila naona kama hii ndo more realistic
au hii
Au hii
Nadhani hii Class 91 EMUs maana ina 6 cars na speed 160km/h!Sio hi Bali ni model ya "Hyundai Rotem HRCS2"
Hizi freshMipanzi kivipi wakati hiyo ni latest version! wacha kuropoka
Ni model ya Hyundai Rotem HRCS2
Wakituletea EMUs itakuwa poa sana aisee.Nadhani hii Class 91 EMUs maana ina 6 cars na speed 160km/h!
Hii ndo imenunuliwa...👏👏👏
Imenunuliwa???Hii ndo imenunuliwa...[emoji122][emoji122][emoji122]
Hii ndo imenunuliwa...
Zipo hadi 10 carsNadhani hii Class 91 EMUs maana ina 6 cars na speed 160km/h!
Ila naona kama hii ndo more realistic
au hii
Au hii
tuzisakehaya tuingie chimbo tujue trains gan hizo zitaletwa [emoji23][emoji23][emoji23]
nahisi hiyo hiyo iliyobebwa kama mfano ndiyo itakayoletwaPicha inajieleza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1604464
Reli ya Moroco ina design ya speed ya zaidi ya 300kph yetu design ya ni 160kph...Huwezi kuweka train ya zaidi ya 170kph....kwetu..Why? We need speed zaidi ya 160 kmph. Walisema tutakua fasta zaidi ya Morocco na Morocco ni zaidi ya 160kmph.
Hahahaha mkizidiwa kwa hoja mnakimbilia kuvunjiwa amani hahaha 😂😂😂😂 angalia sana ndugu ..unadhani moderators ni wajinga kiasi hicho?
Sasa angalia huyu ameniita dada ..kwanini nisimtukane ..halafu mnakimbilia kuita moderator...Naona kwa mipasho na taarab uko vizuri sana dada