Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe acha ujinga wewe, kwani siku hizi watanzania ni wazungu?
View attachment 1602603
Leo hujui kusoma eti
Screenshot_2020-10-16-23-15-49.jpeg
 
At least umeamua kuweka hii yenu yenye imechakaa, mbona mnapenda kuiba picha za watu lakini? Last time uliiba picha za Kenya.
so umepanic tayari😂😂😂 bahat nzuri i know u very well
 
Hiyo ya juu inaitwa H225 ziko mbili tu East and Central of Africa alafu hyo ya chini ndo inaitwa H215 nazo ziko mbili tu ukanda huu ila cc huwa kawaida yetu kukaa kimya hatupendi kutoa siri za jeshi letu, tunataka cku mtu ajichanganye aguse anate
tapatalk_1602881221396.jpeg
Screenshot_2020-10-16-21-59-43.jpeg
 
Back
Top Bottom