Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TUSEME TU UKWELI, DAR BADO SANA KUILINGANISHA NA NAIROBI, MFANO JUZI TU MVUA YA SIKU MOJA HAPO DAR UNAEZA DHANI IMENYESHA WIKI NZIMA
We bwabwa hiyo houston,so unataka kunyaland ni better than usa kwenye suala la mafuriko
 
Attachments

  • 20201015_213919.jpg
    20201015_213919.jpg
    58.1 KB · Views: 8
Yani huyo jamaa ni mjinga kweli kweli, yeye hata hajishuguliki kusoma hiyo article. Kenya with a small population by 2018 tulikuwa na 6.9 million connected customers.
Kenya Energy Situation - energypedia.info.
As of 2018, 6.9 million people in Kenya have been connected to the grid i.e three quarters of the total population. Households in Kenya use the following source for lighting: Electricity - about 15% of the national population.Sep 24, 2020
Hawa dawa yao ni hard facts., wamebaki na three level, SGR ya umeme, na BRT including using Kibera n other slums, wakisema GDP ya Kenya ni ya kwenye makaratasi or cooked 😂😉😂😂as weapons to respond to Kenya's onslaught or beating, wakijofariji😂😉bure kabisa!, hawana jipya for argument.., nimewashika kabisaa! Dar hawaniambii chochote!., wangoje 2025, then we do a comparison analysis kwa sasa ni blah blah tupu., am having fun here😂😂😉😂😂
 
Hawa dawa yao ni hard facts., wamebaki na three level, SGR ya umeme, na BRT including using Kibera n other slums, wakisema GFP ya Kenya ni ya kwenye makaratasi or cooked as weapons to respond to Kenya's onslaught., or beating., hawana jipya for argument.., nimewashika kabisaa! Dar hawaniambii chochote!., wangoje 2025, then we do a comparison analysis kwa sasa ni blah blah tupu., am having fun here😂😂😉😂😂
comparisson gani mlionayo nyinyi as if labda hatuwajui 😂😂😂😂 mutadanganya wa nigeria lakini sio watanzania muna maisha gani ya kua na comparisson ushuzi mtupu

akili yenu na mawazo yenu ni kufkiri tanzania ni adui yenu kisa hatua za kimaendeleo
 
Hawa dawa yao ni hard facts., wamebaki na three level, SGR ya umeme, na BRT including using Kibera n other slums, wakisema GDP ya Kenya ni ya kwenye makaratasi or cooked 😂😉😂😂as weapons to respond to Kenya's onslaught or beating, wakijofariji😂😉bure kabisa!, hawana jipya for argument.., nimewashika kabisaa! Dar hawaniambii chochote!., wangoje 2025, then we do a comparison analysis kwa sasa ni blah blah tupu., am having fun here😂😂😉😂😂
tanzania ikipiga hatua za kimaendeleo kwenu ni vita😂😂😂 na mtu mwenyeww ndio kwanza kamaliza miaka mitano bado mitano inakuja 😃😃 sijui mutaongea lugha gani
 
comparisson gani mlionayo nyinyi as if labda hatuwajui 😂😂😂😂 mutadanganya wa nigeria lakini sio watanzania muna maisha gani ya kua na comparisson ushuzi mtupu

akili yenu na mawazo yenu ni kufkiri tanzania ni adui yenu kisa hatua za kimaendeleo
😂😂😂😂😂hapa propaganda yako kwisha!😂😂, who thinks about TZ?? Your obsession na Kenya iko wazi saaana!, your false projectiins n deception tumeijua tayari, ukweli wa Dar na Tz tunao kikamikifu mr. Mapicha., wewe weka napicha tu furahisha walala hoi wenzako as also am entertained😂😂😂😂
#2.7Million_connected to electricity!😂😂 add their family members as u sleep.

Leo umejipiga risasi kwa mguu!😂😂😂
 
from nigeria official source😂😂👇👇

chuki kwa magufuli kwann analeta maendelo tanzania 😂😂 na katumia just miaka minne kujenga hii nchi unaeza sema ni miaka 30 😂😂😂😂 mumebakia kurusha ngumi za hewani
 
😂😂😂😂😂hapa propaganda yako kwisha!😂😂, who thinks about TZ?? Your obsession na Kenya iko wazi saaana!, your false projectiins n deception tumeijua tayari, ukweli wa Dar na Tz tunao kikamikifu mr. Mapicha., wewe weka napicha tu furahisha walala hoi wenzako as also am entertained😂😂😂😂
#2.7Million_connected to electricity!😂😂 add their family members as u sleep.

Leo umejipiga risasi kwa mguu!😂😂😂
huku tanzania inaongoza africa 👏👏 kwangu fahari kubwa sana kuona tumetoka 32% from 2015 and now tuko 84% 2020 nimeamini kazi kubwa sana imefanyika , ukiumia umia taratibu tu usimkere mwenzio😀😀😀😀
 
from nigeria official source😂😂👇👇

Nilisema hauna jibu mwafaka to fight the onslought😂😂😉😂😂 unapata taaabu sana lazima uchokore huku na kule kutafuta vijisababu vya kudhalilisha Kenya ili uonekane nafuu lakini wapi😂😉😂😂😂, nyani ni wakati wako wa kifo kwa sasa, endelea kuteleza kwa kila mti😂😂😂😂
 
huku tanzania inaongoza africa 👏👏 kwangu fahari kubwa sana kuona tumetoka 32% from 2015 and now tuko 84% 2020 nimeamini kazi kubwa sana imefanyika , ukiumia umia taratibu tu usimkere mwenzio😀😀😀😀
😂😂😂😂😂84% of 57 million is equal to 2.7million (add family members na wengine)😂😂😂

HAPA SIPINGI YOUR MINISTER AMEWEKA WAZI😂😂
 
Nilisema hauna jibu mwafaka to fight the onslought😂😂😉😂😂 unapata taaabu sana lazima uchokore huku na kule kutafuta vijisababu vya kudhalilisha Kenya ili uonekane nafuu lakini wapi😂😉😂😂😂, nyani ni wakati wako wa kifo kwa sasa, endelea kuteleza kwa kila mti😂😂😂😂
uhehehehhehe kwenye barabara mumebanwa kende ma huku pia kuna moto 😂😂😂😂😂 mm bahati nzuri huna cha kunidanganya kuhusu kenya manake nazijua mpaka alama za chupi zenu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom