Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama 2018 tulishapita 18,000km. Sasa hizo 17,000km zako zinatoka wapi?
Wait sio ww uliekua wasema Tz ina 9k zenys lami untill majuzi hapa Ndio kuona tumecross 10k ndio ukabadili gear angani?Huu mchezo wako wa kupunguza numbers likiwa jambo la Tz na kupaisha numbers likiwa jambo la kenya mm binafsi Sijawahi kulipenda
 
So mlitumia 50yrs kujenga 11k mkiwa na serikali imara zen mkatumia only 10yrs kujenga 11k zingine mkiwa na serikali ombaomba, duuhh hii ya leo kali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo sitawaacha kirahisi.
 
nasema umeletewa ushahidi kua 2017 mlikuq na 11000km ni sawa sio sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
2017 tulikuwa na 17,000km of paved roads, 2018 tulifika 18,000km and in 2019 tukawa na 21,000km. Huo ndio ukweli ucheke ulie 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡
 
Wait sio ww uliekua wasema Tz ina 9k zenys lami untill majuzi hapa Ndio kuona tumecross 10k ndio ukabadili gear angani?Huu mchezo wako wa kupunguza numbers likiwa jambo la Tz na kupaisha numbers likiwa jambo la kenya mm binafsi Sijawahi kulipenda
Sasa hapa nimepunguza gani na kupandisha gani? Hizi data zote ni kutoka kwa serikali, kwanza za Tanzania ni 2020.
 
Hayi hii kitu inatesa watanzania sana, nangoja mwingine tena alete data za 2007πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡
 
Sawa ndio cc tumekubali ni 12,964 na 2000km ziko u/c ambapo itafanya nchi ifikishe 15k ambazo hamtazifikia leo wala kesho [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kulingana na nyinyi, TNBS inasema ukweli wakati KNBS inadanganya? Juu hizo data zote zimetoka from National statistics. Mbona mnapinga ya KNBS na sio za TNBS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…