Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok, Tanzania ni 9,000km. Kenya 21,000km.
Tumeshakuambia kadanganye mungiki wenzio wa Jubilee sio watanzania

Angalia jinsi hiyo Kenya Roads Board ilivyochanganyikiwa, hizi ni statistics za 2020 zinasema mna 17k kilometers, hizo zako zinasema 21k kilometres sasa which is which? 😁😁😁😁

Tumekataa kukubali propaganda za Jubilee na tumeamua kuamini independent sources kama WB, ambayo inasema ukweli, na statistics zao zipo sambamba na statistics nyingine 😁😁😁😁

 
Utahangahika sana.
 
Nadhani umeshamaliza utata, paved roads Kenya ni km11k
 
Leo mmewaamulia...
 
View attachment 1600186

Wewe tabularasa Teargass hebu niambie kwenye hiki kipeperushi chako hapa mkwaka 2017 lami ilikuwa KM ngapi na hapo 2019 ni KM ngapi? Ilitokea time wakavunja lami au ni nini? Where did you get this crap?
Ajabu ni kwamba kutoka 2018 mpk 2019 iliongezeka km1 tu ya paved road kwa trunk roads [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…