Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hyo si ndiyo sehemu ambauo mnayoiona kama inapendezesha nairobi kiukweli city center yenu ni ndogo aisee.......is too bad kuwa city
Wewe hunaga cha maana...iyo ni old cbd na si yote..kuna westie,upperhill,hurlingham etc ...nyinyi ni cbd na slums hii si dar ya tower mbili
ceba033805d989b614d110fe20247742.jpg
 
Hiyo ni CBD na The Overrated Upperhill yenye UAP, Britam, KCB na Prism.

Huko Westland Bado Hamna kitu hizo cranes zitatengenza kitu cha maana baadae.

So Kama alivyosema jamaa. Ni kweli. Kuna ile picha mi baada ya kuiona Ndio hata siamini hata Kama mmpepata picha ya angle nzuri kiasi gani.
Sasa nyinyi wenye tower mbili cbd...na njee ya cbd ni slums una guts ya kubonga hapa
 
Hiyo ni CBD na The Overrated Upperhill yenye UAP, Britam, KCB na Prism.

Huko Westland Bado Hamna kitu hizo cranes zitatengenza kitu cha maana baadae.

So Kama alivyosema jamaa. Ni kweli. Kuna ile picha mi baada ya kuiona Ndio hata siamini hata Kama mmpepata picha ya angle nzuri kiasi gani.
supertall twajenga kule upper hill + 4 40 flr towers and another 3 30 floors....just relax sumu ikuingie sasawa.Sijataja westlands with its many towers....jasho hadi jasho Nairobi

“MONTAVE” mixed use development, located in Nairobi, Kenya. The development has the following characteristics:

  1. Seven basements providing parking spaces for the building and M/E areas (65,000 m²)
  2. Two floor Mall Area with retails, restaurants, super market, shops, etc. (13,000 m²)
  3. One floor Conference Center with Conference and Meeting rooms, Gallery & Business Club Center (6,000 m²)
  4. 344 Residential Apartments in 19 floors (42,000 m²)
  5. Hotel Tower with 147 Serviced Apartments and 168 Hotel rooms & suites in 40 floors (29,000 m²)
  6. Office Tower in 36 floors (20,000 m²)
Total build up area: 175.000m²
 
tuoneshe ujenzi ukiendelea tafadhali😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom