Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lewis utajichosha na hawa wabongo wamekaa kushabikia makinikia ambayo ni kama left over huku pure gold hawasumbuki nayo...ndo maana kuna research nyingine inasema kati ya watanzania 5 wawili ni vichaa..so kwa ushauri wangu angalia unaoibishana nao usikute ndo vichaa wenyewe
Alokwambia hatukumbuki kuhusu pure Gold ni nani? Na kumbe hata hujui kwa nini makinikia yazuiliwe kuondoka huku pure gold ikiruhusiwa kuondoka!

Kwa taarifa yako fupi tu ni kuwa, kiasi cha pure Gold kinachosafirishwa kinafahamika ndo maana hiyo haijazuiliwa! Kiasi cha madini kwenye makinikia hakifahamiki ndo maana imezuiliwa!

sasa subiri bunge la bajeti liishe mikataba yote ya madini ikajadiliwe bungeni uone kitakachotokea kuhusu hiyo pure gold unayodhani hatuijui!

Kwa sasa spare your words and watch carefully!


Kuhusu hiyo research wewe hujawahi kuisoma, you just commented in automatic model after being excited by the word KICHAA!


Ukiisoma utashangaa kuwa wewe ni kichaa maana kuongea kitu bila kukisoma vizuri pia ni ukichaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NNAIROBI
CnU8GU0XEAALDfq.jpg
CnU8HrqW8AAynPV.jpg
CnU8JrSXYAAsgGh.jpg
yaan nairobi majengo yanahesabika ni machache sana.....ni padogo sana hapo city center
 
Unadhani iyo ni Nairobi yote

Hiyo ni CBD na The Overrated Upperhill yenye UAP, Britam, KCB na Prism.

Huko Westland Bado Hamna kitu hizo cranes zitatengenza kitu cha maana baadae.

So Kama alivyosema jamaa. Ni kweli. Kuna ile picha mi baada ya kuiona Ndio hata siamini hata Kama mmpepata picha ya angle nzuri kiasi gani.
 
Hiyo ni CBD na The Overrated Upperhill yenye UAP, Britam, KCB na Prism.

Huko Westland Bado Hamna kitu hizo cranes zitatengenza kitu cha maana baadae.

So Kama alivyosema jamaa. Ni kweli. Kuna ile picha mi baada ya kuiona Ndio hata siamini hata Kama mmpepata picha ya angle nzuri kiasi gani.
wewe upperhill unaionea tu kwa picha, that's an upto date CBD being constructed, international standards.
 
Back
Top Bottom