Naona wewe ushaanza kulemewa. I have my order of posting my images, we tulia uchungulie venye wenzako wanchunguliaHebu na ww weka road mpya japo moja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1599273
Nimeweka roads mpya ambazo ni mpya kabisa ww unapambana na roads ambazo zimeshawekwa tayari humu [emoji3][emoji3]Naona wewe ushaanza kulemewa. I have my order of posting my images, we tulia uchungulie venye wenzako wanchungulia
huwa wanajenga vitu for nothing......Wacha ujinga [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1599222
Wajinga sana.huwa wanajenga vitu for nothing......
ukiwauliza kilichowafanya kuezeka hizo takataka juu ni kipi......watabaki kutoa macho matumizi mabaya ya fedha[emoji3][emoji3][emoji3]
Kenya Tarmacked roads is 21,000km as of 2019, Tanzania Tarmacked roads are 12,000km as of 2020.Alafu kunguni inataka kushindana na Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1599290
Baadala ya kuongea maneno mingi si useme tu once that umeishiwa.Nimeweka roads mpya ambazo ni mpya kabisa ww unapambana na roads ambazo zimeshawekwa tayari humu [emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji116]Kenya Tarmacked roads is 21,000km as of 2019, Tanzania Tarmacked roads are 12,000km as of 2020.
View attachment 1599295View attachment 1599298
Kwani umerudi kwa beach tena? Umeishiwa kwani? 😂 😂 😂Hii picha kali sn aisee pongezi kwa aliyeiwekaView attachment 1599299
Baadala ya kuongea maneno mingi si useme tu once that umeishiwa.
Pole sana hii ndio tunaita desperation.
[emoji56]Did somebody talk about quality roads?
View attachment 1599276View attachment 1599279View attachment 1599281View attachment 1599283View attachment 1599286
yaani wakenya ni maboya sana walijua kuwa wao ndiyo wenye barabara pekee nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajiskiaje?😂😂🤣👇
Hapa vipi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Unajiskiaje?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116]View attachment 1599321