Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuezifanana kwa sababu tuko na indoor Arena wakati nyinyi mko na tent ya matanga 🤣 🤣
😂 😂 😂 tent ya catering
You are hitting below the belt now which is against the rules. You will be disqualified! 😂 😂
 
First of all, Hiyo next door something ni club. Secondly, hakuna indoor Arena in Tanzania and you won`t have it anytime soon. Third, the indoor Arena is not whatever you think.
Wikizero - List of indoor arenas in Africa
Nishakwambia Next Door kuna vitu Viwili
1.Club Next Door
Na Next Door Arena..ambayo ni Event Space ...

2.Cha pili..if by your defnition arena ni lazima iwe na Basketball court kati kati..au Netball court ..Basi tunayo natinonal Indoor Stadium..of course quality yake sio international standards but ipo..na humo ndo michezo ya basket inafanyikia ..mpka tutakapojenga kubwa
 
😂 😂 😂 tent ya catering
You are hitting below the belt now which is against the rules. You will be disqualified! 😂 😂
Kuna siku niliwaambia watuonyeshe their Aquatic Stadium if incase wako nayo. Do you know what Geza posted? He posted swimming Pool ya shule 😂 😂
 
Nishakwambia Next Door kuna vitu Viwili
1.Club Next Door
Na Next Door Arena..ambayo ni Event Space ...

2.Cha pili..if by your defnition arena ni lazima iwe na Basketball court kati kati..au Netball court ..Basi tunayo natinonal Indoor Stadium..of course quality yake sio international standards but ipo..na humo ndo michezo ya basket inafanyikia ..mpka tutakapojenga kubwa
Please hakuna haja tupingane, mngekuwa na indoor Arena basi mngekuwa listed hapa👇👇👇
https://www.wikizero.com/en/List_of_indoor_arenas_in_Africa
 
I repeat again,
Do you have an aquatic stadium?
Do you have an indoor Arena?
Do you have an underpass road?
Indoor arena tushamalizana, underpass tushamalizana now weka hyo aquatic stadium yenye jukwaa moja nikufundishe kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nataka nimuone nutritionist anishauri which vitamins or proteins should I excessively use to cope my memory capacity with the pace of construction JPM is racing with, I just can't kwa kweli on my own
images - 2020-10-12T122124.526.jpeg
 
Ushaelewa tayari na hutorudia upuuzi wako, wacha kukariri dada [emoji3][emoji3][emoji3]
Hamtawaikuwa na underpass hadi dunia iishe. Uoni wewe pekee yako ndio umekazana wakati wenzako wamejua vizuri hakuna underpass Tanzania?
 
Kuna siku niliwaambia watuonyeshe their Aquatic Stadium if incase wako nayo. Do you know what Geza posted? He posted swimming Pool ya shule 😂 😂
What 😂 😂 😂. That reminds me of the day he posted a hotel called Hong Kong hotel in downtown kariakoo saying it's a five-star hotel. When I googled it, nilibaki nikicheka
 
Indoor arena tushamalizana, underpass tushamalizana now weka hyo aquatic stadium yenye jukwaa moja nikufundishe kitu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna underpass na hamtawaikuwa nayo. Hamna indoor Arena na pia hamtawaikuwa nayo. Case closed.
 
Back
Top Bottom