President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Sasa hizo zimeandikwa Police? Hebu acha ujinga basi.Mtawadanganya wengine, lkn ukwel haya ndio magari yanayotumiwa na polisi mitaani tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1592247View attachment 1592248
We jamaa ni mshamba sana. Hebu ondoa ushamba wako hapa.Hatubishani niwaambia ukwel, ikiwa OCD tu hatumii v8 gari lake ni land cruiser itakuja polisi wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zinginekwahiyo gari mpaka iandikwe polisi ndio inakuwa ya police,anyway huko ni kenya ambapo hamna identity ya gari za taasisi za uma.
Hakuna gari inayoitwa V8 jomba, V8 hyo ni aina ya engine...We jamaa ni mshamba sana. Hebu ondoa ushamba wako hapa.
All V8 is Land Cruiser (Toyota)
Aise kumbe wakenya ni washamba hivi
Mtu na akili zake angelielewa kw haraka km na maanisha land cruiser, lkn vile na wewe unatka ili uonekane unajua twende.We jamaa ni mshamba sana. Hebu ondoa ushamba wako hapa.
All V8 is Land Cruiser (Toyota)
Aise kumbe wakenya ni washamba hivi
Hku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zingine
Wewe jamaa utakuwa na matatizo sana. Unadhani Issue zenu za kenya ndiyo issue za TZHku gari za uma zote ni GK, kwhyo hapo utajua tu km ni ya serkali lkn huwezi elewa kitengo labda iwe imeandikwa pembeni km zinavyoandikwa zingine
How big it is? In terms of square meter or square feet.
Kama hujui maana ya PT uliza usione haya [emoji3][emoji3]Ilete hyo v8 ambayo imeandikwa polisi tuione[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia benz ya kanjo hzo[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1592063
How big it is? In terms of square meter or square feet.
Atakwambia anataka kuona neno Tanzaniania wkt anaona bendera kwenye belt ya huyo askari, komora ni miyeyusho sn huyo dada.
I just want to know the size, hizo story zingine unaezabaki nazo.Usitegemee iwe kubwa kiivyo, Zanzibar ni sehemu ndogo sana, ina watu kama Milioni 1 hivi (Unguja + Pemba), hivyo kujibu swali lako ukubwa wake unatosha kwa mazingira ya Zanzibar.
Google.I just want to know the size, hizo story zingine unaezabaki nazo.
I just want to know the size, hizo story zingine unaezabaki nazo.
nioneshe v8 imechorwa police basi tuone πππππGari zetu za serikali zote ni GK buda[emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndio umeanza kujua leo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kumbe tumewazd maeneo mengi hv ckuwa najua [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Ile siku utaleta hta peugeot iliyoandikwa polisi nitag[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaleta plates hapa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji382][emoji382]
Weka hapa tuone, duuhh yn polisi kuwa na v8 imewashangaza sn Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kenya pia V8 na range hutumiwa na polisi, au wafikiria hawatumii.
Hzo ni gari za officials, huwezi ikuta tandale inatafuta inatafuta wahalifu
alaf ni simple sana tofaut ya gari za polisi na escort hii hapaπππKama hujui maana ya PT uliza usione haya [emoji3][emoji3]
yani tena ni ajabu kubwa sana kwao yani V8 kwao wanatumia tycoons na viongozi wakubwa sana kenya ππππWeka hapa tuone, duuhh yn polisi kuwa na v8 imewashangaza sn Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]