mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
When terrorist attacks soft targets unadhani ni rahisi, lack of proper exposure or knowledge ni aibu kwenu. Now nyie mko sawa kushinda Russia, watch how terrorists took a school hostage in might Russia uone vile Putin ali hangaika, u cant storm in., wale Al shabaab wanaeza kua ndugu na dada zenu, wajomba, mashemeji na majirani.,etc, hard to tame, wakija RZ mtaihama nchi, because rebels wa Congo waliaibisha TPDF, na wale ni child soldiers na wengine wanabeba mapanga, al shabaab wako na technology na m16s pia.,
terrorism haina uhusiano na kuvaa sandels infront of anermy fire[emoji28][emoji28][emoji28]
mko na janga watu wanakufa ndani ya jengo,GSU na KDF wanafarakana nani wa muhimu kufanya kazi ile[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31],wanatwangana risasi.
baafa ya KDF kuingia ndani wakati adui aliishafika somalia,wakaanza kuhepa na mikufu na saa za thamani,kumbe ilikuwa wagombanie kuingia ili wawahi masalia[emoji23][emoji23].RIP to inocent souls.
terrorists,lebels sio watu wa kucheka nao maana wana silaha.