Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Majengo ya Posta, Toyota Karimjee na Azania Front pia yapo!

Pale DARCH (Dar center for Architectural Heritage) , Old Boma, kuna Historia nzuri sana ya Majengo ya Dar, katika Stages na tawala mbalimbali.

Hapa chini nimeruka German and British Era.
Kulingana na History, British hawakufanya chochote zaidi ya Kurenovate Majengo ya wajerumani , ni kwa sababu ya ufinyu wa Budget.

hukukwetu hata hizo v8 wanatumia polisi pia.

perception inayokuja,mtu kama wewe kutumia hiyo inaonekana huna pesa za mawazo,maana inauzwa bei nzuri,imara pia,na inatumia mafuta mengi.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ evidence na isiwe presidential escort๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ V8๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,
 
Sometimes try to get your facts right before kuropokwa๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‚check video clips za mzee Jomo Kenyatta na Moi, a Kenyan thing since independence, dawa yenu nimegundua ni video clips, it puts you in your place n lane. Mnspenda kujikweza sana, masikini jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ