Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
Tumetoka kuwafinya juzi kwenye list ya corona free countries by KCAA hatushindwi kuwafinya tena esp. JPM akibaki madarakani!Tutafunga border na kutupu ufunguo chooni na kusahau kama kuna nchi inaitwa Tanzania.
Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu anytime ukifika dar nitafute nikupeleke sehemu ambazo ukirudi kwenu itabaki kama memory ya kusimulia wajukuu[emoji1][emoji1]
Geza inaonekana umeanza kuzeeka siku hizi,mimi niliuliza kuhusu Mwanza - Isaka, wewe unaingiza habari za Isaka-Kigali, Kama hujui Geographia ya hilo Eneo nyamaza wacha kujidhalilusha hadharaniwacha hoja zisizo na mashiko TAZARA ilipokuwa inajengwa iligawanywa kwa vipande na ilianzia hinterlands! Sioni mantiki ya kushinda siku ukibishana kwanini phase III inaanzia Mwanza na si Makutupora! U sound short-sighted kutoona kwamba technicalities can be a reason than ur emotions! halafu nakushaangaa ukibisha kuhusu Isaka-Kigali wakati financial modalities ni tofauti na Dar-Mwanza! Ule ni mradi kati ya Rwanda na Tanzania mfadhili akiwa AfDB huwezi kumpangia Kagame uanze kujenga Dar-Mwanza! miradi hii miwili ipo tofauti! Tumia maarifa kwenye kuanzisha arguments zako! Ndo maana nilikulenga asubuhi! Una uchokonozi usiojenga!
Three level ni nn[emoji848][emoji848]hamutapata kitu inaitwa three level tulieni tu kwa sasq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao si wale wale hiaga unaleta screenshot zao[emoji23][emoji23]tangu lini moro dar ikawa 184km [emoji23][emoji23]
Huyu jamaa kauliza swali la msingi sana, kuna faida gani ya kuruka kipande cha katikati wakati tungefungua njia taratibu?
Ulichouliza Asubuhi!Sorry, huyu hapa
Same place, different angles[emoji23][emoji23]jamaa yani kaamua kukata kata video hadi ikabakia dakika moja tu, maskiniZimesha tumwa kibao n youtube zipo acha uvivu....meantime Arusha loading....View attachment 1590033View attachment 1590034View attachment 1590035View attachment 1590036
😂😂😂😂 just imaginutapanda na brt ukasimulie kwenu 😁😁😁
Mwanza cityZimesha tumwa kibao n youtube zipo acha uvivu....meantime Arusha loading....View attachment 1590033View attachment 1590034View attachment 1590035View attachment 1590036
Propagandist wacha fitina na wivu., ichoboy01 si mchawi kama wewe😂😂😂😂Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uktoka apo ukapige kitu cha zege 😁😁 sjui kama utarudi kwenu wewe😂😂😂😂 just imagin
Kwhyo unabisha, nataka ukubali kwanzaHebu weka picha tuone [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio bongo pekee bali E&C of Africa 3level ipo hyo tu na ndiyo maana tunaambiwa EA tupo nyuma bado, so pambane tuipeleke EA kimataifa na co kujifariji kwa vibarabara ambavyo hata Somalia vipo [emoji3][emoji3]umejuaje tunaumizwa na hio three level interchange? ilhali ilikua namkosoa mwezako asifikirie..three level interchange iko bongo peke yake
Bwahahaa!!ugua pole pole, tulianzaga kitambo jombaSorry km ni ile uchafu ya sijui pangani .....better come with something unique [emoji116] one and onlyView attachment 1590020
Jamaa hawajui km wana rival na mombasa manake nai sio level yaonaona umekosea mombasa pia wanajenga three level interchange..yaitwa changamwe interchange..renders zake ni hii apa chini
View attachment 1590047View attachment 1590048View attachment 1590049
karibu anytime ukifika dar nitafute nikupeleke sehemu ambazo ukirudi kwenu itabaki kama memory yakusimulia wajukuu😄😄
Sawasawa kabisa ameuliza vizuri sana, soma post #222557 ya Ngokongosha ameelewa hilo swali na amejibu vizuri sana.Ulichouliza Asubuhi!
Bora ww umekubali ss hawa wenzako wanafosi kitu hamna.haina shida but angalau tunajua inajengwa na ikifika mwaka ujao itakamilika na pia sisi pia tutajivunia..
hawa nawajua vzr hawanisumbui bro usiwe na waswas kabisa 😂😂Kuwa makini sana na wakenya, hata kama mtafahamiana na kuwa marafiki. Usikubali kwenda kumtembelea Kenya, ukienda Kenya asijue kama upo Kenya, nadhani umenisoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mumeliona lile" Land Cruiser" lake mumeanza kulipigia mahesabu sio?[emoji23][emoji23][emoji23]Propagandist wacha fitina na wivu., ichoboy01 si mchawi kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]