Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku ukipata let me know πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ otherwise sindano ziko pala pale
 
 
umejuaje tunaumizwa na hio three level interchange? ilhali ilikua namkosoa mwezako asifikirie..three level interchange iko bongo peke yake
kwenu haipo kwa sasa tulieni tu kueni wapoleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio sababu kila eneo moja la radar halipaswi kuhudumiwa na radar mbili tofauti, Kama kungekuwa na uwezekano wa Radar moja kufika maeneo yote Tanzania, tusingejenga Radar 4, tungeweka moja tu.

Kwa upande wa SGR kwasababu inatumia fiber, kuna sababu gani ya kujenga Control centres nyingi wakati moja tu inafikia trains zote popote pale nchini?.

Kuhusu vituo vya redio, mfano uliotoa hauendani na maelezo yako, Kila redio inarusha matangazo yake kutoka katika kituo kimoja tu, TBC lazima wawe na center moja ya kurusha matangazo, ITV, Clouds au Wasafi, kila moja lazima iwe na Centre moja tu.

Kama kutajengwa reli nyengine ya SGR, nayo itakua na Control Center yake, wanaweza kuijenga mkoa wowote watakaochagua, lakini watakua na Control Centre moja tu.
 
control center inajengwa dar es salaam ndio itakua main bro according to kadogosa
 
wacha hoja zisizo na mashiko TAZARA ilipokuwa inajengwa iligawanywa kwa vipande na ilianzia hinterlands! Sioni mantiki ya kushinda siku ukibishana kwanini phase III inaanzia Mwanza na si Makutupora! U sound short-sighted kutoona kwamba technicalities can be a reason than ur emotions! halafu nakushaangaa ukibisha kuhusu Isaka-Kigali wakati financial modalities ni tofauti na Dar-Mwanza! Ule ni mradi kati ya Rwanda na Tanzania mfadhili akiwa AfDB huwezi kumpangia Kagame uanze kujenga Dar-Mwanza! miradi hii miwili ipo tofauti! Tumia maarifa kwenye kuanzisha arguments zako! Ndo maana nilikulenga asubuhi! Una uchokonozi usiojenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…