Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Our farmers did not have access to international Markets

We have enough land to support tea farming [emoji1241]

With this auction we can bring in Malawians producers too..

It's not about just being big.. it's about us supporting our farmers.. we will do cashew nuts, ground nuts, rice, maize, bananas, pinnaples, avocados, all kinds of veggies...

We are not competing with you guys .. we are simply looking out for our own. #Ujamaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
yaani huwa wanakurupuka sana kufanya mambo yao . .

huo ni upuuzi sana na nimatumizi mabovu ya kifedha
 
Atazaa mzee wa sgr na stiglaz aliyepiga magoti Jana Njombe wakati anaomba kura,kamsaidieni mtu wenu maji yako shingoni..Msema kweli ni mpenzi wa Mungu anadharirika 😆😆😆😆
Inaonekana unatoka familia fulani hivi chnganyikeni sana ambayo haina displine hata kidogo. Ulishaambiwa mara nyingi sana hili siyo jukwaa la siasa hivyo hatutaki mambo ya kisiasa hapa lakini kila mara unarudia kupost mambo ya kisiasa hapa jukwaani. Hii inaonyesha kabisa kwamba upo upo tu huna dira wala mwelekeo (not focused person). Badilika ndugu hata kama tayari una mvi za uzee kichwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…