Ile nyingine waliandika inatosha mkuu.wameshindwa kuandika a Tanzanian rat![]()
Kuna watu bado wanataka kushindana na Tz kuhusu matumizi ya mitandao





Ngoja na mimi nika unfoloowKuna watu bado wanataka kushindana na Tz kuhusu matumizi ya mitandao![]()
Unakwama wapi kiongozi, hili ni tukio la kitaifa mzeeNgoja na mimi nika unfoloow



👇👇👇👇👇mtu aliyepost hajaandika chochote kusema it is a concrete jungle. ni wewe tu umejijazia. read againView attachment 1581268View attachment 1581270
Zanzibar airport officially opening on the 28th of September 2020View attachment 1581316
View attachment 1581521
Hii ngoma sioni Kama itazalisha umeme throught the year, Egypt anategemea haya maji kwa maisha ya watu wake, wakati Ethiopia anategemea kwa umeme, Egypt is a matter of life and death, hawezi kukubali kirahisi.Update: the Grand Renaissance Dam in Ethiopia
Ngoja tuone ila Egypt ina msala mwingi ipo Libya na pia Syria!Hii ngoma sioni Kama itazalisha umeme throught the year, Egypt anategemea haya maji kwa maisha ya watu wake, wakati Ethiopia anategemea kwa umeme, Egypt is a matter of life and death, hawezi kukubali kirahisi.
Egypt wana nguvu sana za Kijeshi, Ethiopia hawezi kumzuia akiamua kulivunjilia mbali.Ngoja tuone ila Egypt ina msala mwingi ipo Libya na pia Syria!
ohk atapitia wapi ili kumpiga incase of mobilization for war? au unadhani air raids r enough? Unajua gharama za mabomu yanayoweza kuvunja GERD dam? Sidhani kama Egypt can afford costly war at the moment!Egypt wana nguvu sana za Kijeshi, Ethiopia hawezi kumzuia akiamua kulivunjilia mbali.