Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,746
airbridge ya Mombasa airport ni zege!Jamani mtakuja kuwaua mungiki kwa presha
airbridge ya Mombasa airport ni zege!Jamani mtakuja kuwaua mungiki kwa presha
Hiyo ni kitu kidogo sana kwa Egyptohk atapitia wapi ili kumpiga incase of mobilization for war? au unadhani air raids r enough? Unajua gharama za mabomu yanayoweza kuvunja GERD dam? Sidhani kama Egypt can afford costly war at the moment!
English inakuchanganya kweli, ni photo series yake ambayo anaiita concrete jungle,ila sio jiji...ni kama kufungua page Instagram na kuiita concrete jungle ama ichoboy
wameshindwa kuandika a Tanzanian rat 🤷🏾♂️
yaani watu waki launch satellites wakifanya space exploration nyinyi mko kusherehekea stori za panya na instagram..ila hakuna space agency nchiniKuna watu bado wanataka kushindana na Tz kuhusu matumizi ya mitandao![]()
Kwa hii hatua mliyofikia na wapa pongeziyaani watu waki launch satellites wakifanya space exploration nyinyi mko kusherehekea stori za panya na instagram..ila hakuna space agency nchiniView attachment 1581943View attachment 1581944View attachment 1581947


haya sasa naona kwa upande wa airport sasa tunawapiga chini manyang'au wa kikenya hawazungumzii tena kuhusu airport .....




Hivi vikikamilika vya Mwanza, Mbeya na Dodoma bado kuna watu wataweza debate na Tanzania kweli? 😅😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Egypt na Sudan hawako pamoja! Sudan ana grievances zake pia over Nile waters. Ndo maana Ethiopia anajaribu kuichukua Kismayo akijua Somalia is the weakest possible route incase of invasion attempt. Plse don't underestimate a country on warfare. Only the US or those countries with aircraft carrier can do this kind of operation n win!Hiyo ni kitu kidogo sana kwa Egypt
1)Egypt na Sudan wapo upande mmoja katika hili sakata, Mazungumzo yapo katika hatua za Mwisho kwa Egypt kufungua military base yao Sudan.
2)Egypt wanazo meli za Kivita zenye uwezo wa kurusha Missiles kutoka international waters na kufikia hapo, kama USA ilivyoipiga Khartoum miaka ya nyuma.
As it moves closer to Eritrea, Egypt eyes military base on Nora island | Sabahat Khan | AWEgypt na Sudan hawako pamoja! Sudan ana grievances zake pia over Nile waters. Ndo maana Ethiopia anajaribu kuichukua Kismayo akijua Somalia is the weakest possible route incase of invasion attempt. Plse don't underestimate a country on warfare. Only the US or those countries with aircraft carrier can do this kind of operation n win!
Eritrea is wining n dining with Ethiopia, there is no way they can allow Egyptian naval base in her territory!As it moves closer to Eritrea, Egypt eyes military base on Nora island | Sabahat Khan | AW
Ethiopia haina uwezo hata kumaliza mwezi mmoja akianzisha Vita na Egypt, kwasababu Ethiopia hana njia yoyote ya kuikaribia Ethiopia, Egypt atasogea na Meli zake hadi kwenye maji ya kimataifa ya red sea na kurusha makombora ya masafa marefu.
Pia anaweza kurusha ndege zake za kivita kutoka kusini mashariki mwa nchi yake na kufuata usawa wa Red Sea hadi Ethiopia. Kama alivyosema yule dada katika ile clip uliyoweka," war is not likely but is possible,"