Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kuna usalama kweli kwa JPM kutumia chopper registered in Kunyaland ilhali hatuna mahusiano nao mazuri?


MY TAKE
CCM waache ujinga wa kukodi chopper toka Kunyaland!
Hawezi akatumia chopper, itakuwa ni ya team yake ya kampeni. Yeye atapiga kampeni kwa njia ya barabara kama 2015.
 
Haya machopa yanadondoka kama udongo, moja ndio lilimuua Deo Filikunjombe 2015, hayaaminiki kabisa haya.
Waafrika ni watu wa kufanya mambo pasipo kuangalia historia, we kila siku midege ya kenya inadondoka hata hv karibuni midege c chini ya mi4 imedondoka lkn bado mtu anakwenda kukodi huko huko kisa kuna 10% wacha wafe tu pumbavu.
 
Nichosema mimi fedha za serikali zisiingizwe kwenye miradi ya tembo mweupe! SGR Tanga-Arusha-Musoma is of no importance were SGR central corridor exists!
Geza bana,Kuna tani za kutosha za magadi soda engaruka basin,Kuna utalii wa kuzidi wa adventure kwenye hiyo reli na Kuna mizigo ya Uganda,Arusha nk.Pia Bandari ya Musoma naturally location yake ni nzuri kuliko ya Mwanza na pia kutoka Musoma to portbell ni jirani kuliko kutokea Mwanza usiwe mbishi na tutaijenga upembuzi uliisha ..Central corridor inalenga western Uganda na Eastern DRC wakati hii ya Musoma ni Kampala to Juba South Sudan
 
Tazara ilijengwa kusiasa ndio hata WB walikataa kutoa pesa maana haikuwa na faida kwa kipindi kile na hata sasa bado ina struggle
 
Hawawezi kukujibu bila commitment ya Uganda kwenye hii reli sioni umuhimu wake namshauri JPM asiingie mkenge kwenye hii project!
Hii haihitaji commitment ya Uganda ni suala tu la kufikisha reli Musoma,upande wa Pili tayari Kuna bandari zinazofanya kazi na ferry wagons za Mwanza zitahamia huku ikiwa sgr
 
kwanini wakodi chopper Kunyaland? kwani hamna kampuni za chopper Bongo?
Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.
 
Hakuna haja ya mkopo pesa ya gas na bomba la mafuta kwenda Uganda inatosha kuimaliza hiyo reli fasta.
Afu faida yake sio utalii tu nimekwambia Kuna maelfu ya tani za magadi Soda pale engaruka na Viwanda vya Arusha afu wewe huoni mzigo wa Uganda na South Sudan utahama kutoka central corridor kuja Tanga-Musoma? Hiyo she ya Central corridor mkomae na Western Uganda kwenye mafuta na madini mengine na DRC na Rwanda na Burundi.Iwe ni ppp au otherwise hii sgr lazima ijengwe
 
Labda wameona gharama ni ndogo. Lakini nina uhakika JPM hawezi kuzitumia wakati kuna chopper za jeshi za high quality ni kiasi cha kuzibrand tu zikawa na nembo na rangi za CCM.
wacha we yaani helicopter za jeshi zitumike kwenye kampeni? CCM inashindwa kununua yake? Mbona kuna makampuni mengi ya kukodisha helicopter! esp. zile za tourism and mining services!
 
Tazara ilijengwa kusiasa ndio hata WB walikataa kutoa pesa maana haikuwa na faida kwa kipindi kile na hata sasa bado ina struggle
Hizi za Central Corridor Tanzania na RVR kule Kenya, mbona nazo zote zilikufa, au nazo pia zilijengwa kisiasa?
 
Hio soda ash si hamtaki tichimbe kwa sababu za uharibifu wa mazingira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…