Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,738
- 107,188
Mzee namiliki ekari kadhaa za hii kitu, in two years nanunua Mercedes Benz CLS ya Kibabe sana, Nishachoka na matoyota *****Green gold hataree sanaa
Wakunyaa onesheni kamti kamoja moja hata mnako kamilikiiView attachment 1572993View attachment 1572994View attachment 1572995View attachment 1572996View attachment 1572997View attachment 1572998
Hii maneno ikikamilika kutakuwa na View moja ya Kibabe sana hapa
mkuu inachukua mda gani mti kuanza kuzaa matunda vizuri, na kwa eka moja inahitaji mtaji wa kiasi gani? nataka niingie namimi hukoMzee namiliki ekari kadhaa za hii kitu, in two years nanunua Mercedes Benz CLS ya Kibabe sana, Nishachoka na matoyota *****
Ebhana kwetu mbeya tukuyu kule ninampango nitafute shamba walau niweke miche yangu 500 tu nadhan after 3 years ntaonaa positive results nashuuda nyingi sana mimi nina ndugu zangu wawili mashemeji zangu mmoja ameshanunua volvo mpya na amejenga nyumba mbili ila uyu mwingine amenunua crown mwaka wa 4 huu anayo na amejenga nyumba kali.Mzee namiliki ekari kadhaa za hii kitu, in two years nanunua Mercedes Benz CLS ya Kibabe sana, Nishachoka na matoyota *****
Hatari sana, unajilipua na Chombo yako masaa manne uko Dodoma.Naomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.
Chuma io hapo jamaa kanunua ni pesa ya maovacado tu.Ebhana kwetu mbeya tukuyu kule ninampango nitafute shamba walau niweke miche yangu 500 tu nadhan after 3 years ntaonaa positive results nashuuda nyingi sana mimi nina ndugu zangu wawili mashemeji zangu mmoja ameshanunua volvo mpya na amejenga nyumba mbili ila uyu mwingine amenunua crown mwaka wa 4 huu anayo na amejenga nyumba kali.
Volvo io namba D ma ovacado sio poa wazeeChuma io hapo jamaa kanunua ni pesa ya maovacado tu. View attachment 1573964
Mkuu ni Miaka mitatu tu unaanza kuvuna, ekari moja kwa Iringa unahitaji approximately 500-600k kuwekeza, kununua shamba, kuliandaa, samadi, mbegu na nguvukazi, kuna extra gharama pia kwenye umwagiliaji na samadi ambazo zinakuja as you move on. Hapa ni shambani kwangu hii ina mwaka mmoja na nusu tu na kwa sasa parachichi za kula na ugali tu unapata..mkuu inachukua mda gani mti kuanza kuzaa matunda vizuri, na kwa eka moja inahitaji mtaji wa kiasi gani? nataka niingie namimi huko
Me nmezoea kuona mti wa Avocado ukiwa mkubwa ndo unazaa au kuna mbegu fupi?Mkuu ni Miaka mitatu tu unaanza kuvuna, ekari moja kwa Iringa unahitaji approximately 500-600k kuwekeza, kununua shamba, kuliandaa, samadi, mbegu na nguvukazi, kuna extra gharama pia kwenye umwagiliaji na samadi ambazo zinakuja as you move on. Hapa ni shambani kwangu hii ina mwaka mmoja na nusu tu na kwa sasa parachichi za kula na ugali tu unapata..
View attachment 1573982
izo avocado ni za kisasa za kubind kwaio zinachukua mda mchache kutoa matundaMe nmezoea kuona mti wa Avocado ukiwa mkubwa ndo unazaa au kuna mbegu fupi?
Tanzania ni tegemeo la nchi za SADC na EAC..View attachment 1574047
Marais wa SADC na EAC wanaongoza kuitembelea Tanzania katika kanda hizi kuliko nchi yoyote!
Utaweza man watu wanamili crown athlete kama zotee parachichi zinalipa man. Tray moja ni kama 40000 mpaka 60000.Mzee namiliki ekari kadhaa za hii kitu, in two years nanunua Mercedes Benz CLS ya Kibabe sana, Nishachoka na matoyota *****
Hahaa sio pw komaa zihudumiee. Zimetoa mamilionea wenginee wengiii tuuuMkuu ni Miaka mitatu tu unaanza kuvuna, ekari moja kwa Iringa unahitaji approximately 500-600k kuwekeza, kununua shamba, kuliandaa, samadi, mbegu na nguvukazi, kuna extra gharama pia kwenye umwagiliaji na samadi ambazo zinakuja as you move on. Hapa ni shambani kwangu hii ina mwaka mmoja na nusu tu na kwa sasa parachichi za kula na ugali tu unapata..
View attachment 1573982