Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,745
- 107,188
Good move makubaliano na mwekezaji wa Mchuchuma na Liganga yanaendelea vizuri!SGR construction ya Mtwara-Mbamba bay inaweza kuanza sooner that expected.
Good move makubaliano na mwekezaji wa Mchuchuma na Liganga yanaendelea vizuri!SGR construction ya Mtwara-Mbamba bay inaweza kuanza sooner that expected.
mkuu upo sawa ila si kila kitu ijenge serikali.....maana hata hilo jengo likijengwa lipo Tanzania halipo china,,Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Bus Terminal Mbezi Luis, tunashindwa nini Ubungo?
serikali Inaishi kimakini sana hao vijicho si kama hatuwaelewi....Nafikiri hapo Gezaulole atakuwa hapendi wachina na co km hataki private sectors, tatizo wachina nao wanayoyafanya kule Kenya imefanya mpk tuwaogope [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
yaani unakuwa unaingia dar kibabe sana itakuwa ni noma.....Naomba baada Chalinze waweke four lanes hadi Morogoro ikutane na ile four lanes ya Moro to Dodoma.
SGR construction ya Mtwara-Mbamba bay inaweza kuanza sooner that expected.
Ni mradi wenye components nyingi sana, kwanza una package ya SGR (kusafirisha chuma kutoka kiwandani to port) , umeme (kutoka kwenye coal utaotumika kuprocess chuma na mwingine utaingizwa kwenye grid), coal na chumaGood move makubaliano na mwekezaji wa Mchuchuma na Liganga yanaendelea vizuri!
Ile ya Tanga-Arusha-Musoma vp? inaweza kushindana?surely, kama mwekezaji wa mchuchuma na liganga yupo.. hiyo SGR ni muhimu kujengwa fasta!
now we will have 3 busiest ports in TZ along Indian ocean
1. Dar
2. Tanga
3. Mtwara
Inasemekana katika ujenzi wa SGR, construction materials ghali zaidi ni rails, huu mradi ukikamilika rails za SGR tutakua tunazipata kama tunaokota maembe kipindi cha msimu so usishangae Tanzania nzima kukatandazwa SGR 2 lanes.Ile ya Tanga-Arusha-Musoma vp? inaweza kushindana?
Maamaee five years ataree mkuu [emoji122][emoji122]Ni mradi wenye components nyingi sana, kwanza una package ya SGR (kusafirisha chuma kutoka kiwandani to port) , umeme (kutoka kwenye coal utaotumika kuprocess chuma na mwingine utaingizwa kwenye grid), coal na chuma
Ni mradi ambao ukifanikiwa utaibadili kabisa Southern Highlands
Kuna mahali nimesoma reserves ya iron ores na coals zilizopo mchuchuma na liganga zinaweza kutosheleza mahitaji ya chuma dunia nzima kwa miaka mi5 mfululizo.
We bwana wacha iyo maneno bwana unakimbiza watu humu [emoji3][emoji3][emoji3]Inasemekana katika ujenzi wa SGR, construction materials ghali zaidi ni rails, huu mradi ukikamilika rails za SGR tutakua tunazipata kama tunaokota maembe kipindi cha msimu so usishangae Tanzania nzima kukatandazwa SGR 2 lanes.
Operational lifespan ya hivyo viwanda ni kuanzia miaka 50 mpaka 100 so you can imagine!Maamaee five years ataree mkuu [emoji122][emoji122]
Wanatakiwa wajue ni project kubwa ambayo gharama yake ya uwekezaji imezidi kidogo hii project ya pipeline ya Uganda.We bwana wacha iyo maneno bwana unakimbiza watu humu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi hizi reli serikali haiwezi jenga kiwanda? Maana nchi za Afrika ndio zinaanza kujenga reli, soko lipoNi mradi wenye components nyingi sana, kwanza una package ya SGR (kusafirisha chuma kutoka kiwandani to port) , umeme (kutoka kwenye coal utaotumika kuprocess chuma na mwingine utaingizwa kwenye grid), coal na chuma
Ni mradi ambao ukifanikiwa utaibadili kabisa Southern Highlands
Kuna mahali nimesoma reserves ya iron ores na coals zilizopo mchuchuma na liganga zinaweza kutosheleza mahitaji ya chuma dunia nzima kwa miaka mi5 mfululizo.
What! Asante Mungu kwa kuibariki TanzaniaNi mradi wenye components nyingi sana, kwanza una package ya SGR (kusafirisha chuma kutoka kiwandani to port) , umeme (kutoka kwenye coal utaotumika kuprocess chuma na mwingine utaingizwa kwenye grid), coal na chuma
Ni mradi ambao ukifanikiwa utaibadili kabisa Southern Highlands
Kuna mahali nimesoma reserves ya iron ores na coals zilizopo mchuchuma na liganga zinaweza kutosheleza mahitaji ya chuma dunia nzima kwa miaka mi5 mfululizo.
Magufuli anavyosema hii nchi ni tajiri na inaweza kutoa misaada ulaya, watu wanamuona chiziWhat! Asante Mungu kwa kuibariki Tanzania
Kiwanda cha kuzalisha chuma cha reli (chuma cha pua) sio uwekezaji wa kitoto, chuma cha reli ndio grade one steel, inahitajika uwekezaji haswa kama huu ambao utagharimu zaidi ya $3BHivi hizi reli serikali haiwezi jenga kiwanda? Maana nchi za Afrika ndio zinaanza kujenga reli, soko lipo
Unapomsikia Ngosha anasema Tz ni tajiri anamaanisha.What! Asante Mungu kwa kuibariki Tanzania