Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Mbezi Luis, tunashindwa nn Ubungo?

kwan sector binafsi hawataki hizo strategic lands? nin sasa faida ya kuwa na sector binafsi ambayo unainyima strategic lands?
sio kitu serikali iangaike kufanya yenyewe, sector binafsi nayo ipo itafanya..
 
Nafikiri hapo Gezaulole atakuwa hapendi wachina na co km hataki private sectors, tatizo wachina nao wanayoyafanya kule Kenya imefanya mpk tuwaogope
 
Nahisi itakuwa hivyo ila contractor nafikiri ni mchina.
https://www.ippmedia.com/en/business/over 500-book-space-chinese-proposed-250bn-ea-logistics-centre

Screenshot_20200918-173012~2.png
 
Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Mbezi Luis, tunashindwa nn Ubungo?
Depot inaweza kuwa kokote hapo kati kati ya mji ubungo mabasi yawe yanajazana kwanini..mimi naona waweke depot Bunju au Mbagala huko pale ubungo traffic sana..acha mall ikae tu
 
So whats the problem get exposure mzee, kuwepo pale itapunguza gharama za uendeshaji. Mimi napinga kumpa kampuni binafsi ile sehemu. BRT wanaweza kufanya wenyewe!
 
Back
Top Bottom