Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnaona mitandao jinc ilivyowaharibu Wakenya mwishowe wakajiona wao ni Superior than us, hii yote ni kwasababu WaTz tulilala mnoo but I hope now thinks are different na tunatakiwa tuanze ku publish upya mambo yetu, tuwe na tabia ya kupublish vitu kwenye mitandao tusiishie tu humu wakuu, mambo mengi yanatakiwa yaandikwe upya cz Wakenya wameharibu sn mambo huko kwenye mitandao na hii ilipelekea hata kuyumba sekta ya utalii.

Naomba wakuu tuandike upya hizi data tusiishie humu tu hawa wapuuzi wametuharibu sn.View attachment 1573249
Ninakubaliana na wewe katika kuandika, lakini haitobadilisha tabia ya wakenya kuandika uongo, hao ni tabia yao kufanya lolote ili kujikweza, hicho wanachokifanya sio uandishi ila ni udanganyifu, jambo kamwe hawawezi kuliacha kwasababu hawana vitu vingi vya kuizidi Tanzania kama hawstodanganya, hilo ndio linasababisha mivutano na malumbano katika mitandao mbalimbali, wakenya wanaanzisha uzushi na watanzania wanajibu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana eti nairobi ni most populated city than Dar
 
BRT ni wazembe sana, nafuu wapewe Suma JKT

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Better maana mimi binafsi naona hilo jengo ni la kawaida saana na nothing to be happy about! That piece of land is the most sought after now kwanini wasitafute mkopo wakajenga wenyewe? JPM aingilie kati hii maneno tumeuza Polisi Oysterbay sasa tunauza hapa tena? Hivi tuna akili kweli?
 
Mpaka saa hizi masaa manne yamepita toka Keys aachie album, huwez amini nyimbo zngne zote zna viewers 4k ilojitahidi ina 8k...
ILA WASTED ENERGY ft Platinumz ina viewer 45k.. Hahahahah wabongo ni shida asee
hapo ndipo utagundua kuwa Mond ana upepo mkali sana na hicho nficho kitakachowatoa macho wamarekani na nchi nyinginezo...

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Magomeni.

IMG_1844.jpg

IMG_1845.jpg

IMG_1846.jpg

IMG_1847.jpg
 
Better maana mimi binafsi naona hilo jengo ni la kawaida saana na nothing to be happy about! That piece of land is the most sought after now kwanini wasitafute mkopo wakajenga wenyewe? JPM aingilie kati hii maneno tumeuza Polisi Oysterbay sasa tunauza hapa tena? Hivi tuna akili kweli?

maeneo yapo mengi mkuu... hao wachina ndo private sector wenyew.. ardhi probably wameinunua na kodi nyingine wataendelea kulipa.. tunalilia secta binafsi imekufa lkn wakifanya kitu mnalalamika
 
Hujui unachoongea huu ugawaji wa strategic lands utakuja kutugharimu tusiwe limbukeni wa kufikiria kila kitu Wachina! Kama tunajenga Bus Terminal Mbezi Luis, tunashindwa nini Ubungo?
 
Back
Top Bottom