Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa, wakenya kama kuna jambo wasilotaka kulisikia toka Tanzania ni kumuongezea muda Magufuli baada ya kumaliza kipindi chake cha uongozi, yaani tukifanikiwa kumshawishi na kumuongezea muda wakenya wengi watajinyonga [emoji23][emoji23]
Wategemee hilo kutokea cz hapa tunasubiri miradi ianze kuleta returns zen tunakaa mezani kumshawishi mzee asubiri kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiukwel kuna kujenga na kufumua ...sasa huu niufumuaji .....true meaning of face lifted....[emoji573][emoji573]just to show a few
Screenshot_20200831-140601.jpg
2486702_Screenshot_20200814-195859.jpg
20200810_160056.jpg
JamiiForums1668708444.jpg
JamiiForums-1785248063.jpg
JamiiForums358568165.jpg
Screenshot_20200918-103529.jpg
Screenshot_20200918-103040.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20200914-145757.jpg
    Screenshot_20200914-145757.jpg
    40.4 KB · Views: 15
  • JamiiForums2019717935.jpg
    JamiiForums2019717935.jpg
    88.5 KB · Views: 14
Mpaka saa hizi masaa manne yamepita toka Keys aachie album, huwez amini nyimbo zngne zote zna viewers 4k ilojitahidi ina 8k...
ILA WASTED ENERGY ft Platinumz ina viewer 45k.. Hahahahah wabongo ni shida asee
Alafu kuna wapuuzi humu wanajisifu hawashikiki kwenye suala la mitandao, wawaulize Aston Villa ndo watajua nguvu ya wabongo kwenye social networks[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mnaona mitandao jinc ilivyowaharibu Wakenya mwishowe wakajiona wao ni Superior than us, hii yote ni kwasababu WaTz tulilala mnoo but I hope now thinks are different na tunatakiwa tuanze ku publish upya mambo yetu, tuwe na tabia ya kupublish vitu kwenye mitandao tusiishie tu humu wakuu, mambo mengi yanatakiwa yaandikwe upya cz Wakenya wameharibu sn mambo huko kwenye mitandao na hii ilipelekea hata kuyumba sekta ya utalii.

Naomba wakuu tuandike upya hizi data tusiishie humu tu hawa wapuuzi wametuharibu sn.
Screenshot_2020-09-18-12-36-02.jpeg
 
Juzi kati hawa mood walipo tuongelea kuna pimbi wakakimbilia hapa n ujinga wao..sasa nao zawadi yao hii
Screenshot_20200918-124449.jpg
 
Back
Top Bottom