Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tpa ni 35flrs 😀 😀 😀
wacha kulazimisha iwe 40. kisha sioni serikali ya magufuRi ikiwajengea tower.... labda Rais mwingine
Endelea kulazmisha sisi wenye jengo ndio tunajua zaidi😀😀😀😀 kua ni 40 fl
Rais magufuli sio mjengaji tower ye ana deal na viwanda ...tower zitajengwa na mashirika ya tanzania pamoja na matajiri
 
leta source ya Kawe City 40 x 5.
Mbona mkiombwa source ya slum hamuleti???
CGpGcyoU8AEQjnH.jpg

Kwa bongo utaumiza kichwa
 
Endelea kulazmisha sisi wenye jengo ndio tunajua zaidi😀😀😀😀 kua ni 40 fl
Rais magufuli sio mjengaji tower ye ana deal na viwanda ...tower zitajengwa na mashirika ya tanzania pamoja na matajiri
endelea kushindana na waliolijenga
 
nataka kuona 40 x 5flrs... ama huelewi. saa izi nikikwambia na mdomo kuwa Konza City wanajenga tower 100flrs,, utakubali au utakataa?
Mkenya hata akinambia yesu yupo kariakoo simuamini😀😀😀😀😀😀
Ikiwa munaeza danganya dunia mchana kua kigamboni bridge iko nakuru?????
 
Mkenya hata akinambia yesu yupo kariakoo simuamini😀😀😀😀😀😀
Ikiwa munaeza danganya dunia mchana kua kigamboni bridge iko nakuru?????
lete source Kawe City 40 x 5flrs.... mambo ya Yesu na Kinyamboni na kirikuu staki kujua
 
lete source Kawe City 40 x 5flrs.... mambo ya Yesu na Kinyamboni na kirikuu staki kujua
Tafuta source mwenyewe lakinu habari ndio hio 40 fl × 5 kazi unayo safarii hiiiiii😀😀😀😀😀😀
 
Infrastructure zaidi,viwanda ndio anadeal navyo na ni kitu kizur sana
Yeah. Ukitaka kuvutia investors katika mji wowote ule, lazima kuwe na proper infrastructure. na infrastructure imebeba mambo mengi sana which dar lacks
 
Yeah. Ukitaka kuvutia investors katika mji wowote ule, lazima kuwe na proper infrastructure. na infrastructure imebeba mambo mengi sana which dar lacks
Infastructure kama nn dar ina lacks?????
Maana usifkiri magufuli anajenga infastructure dar pekeake nguvu zake kubwa ziko nje ya dar kwa taarifa yako sasa, anajenga dodoma na mikoa yote kwa nguvu zote dar anafanya kumalizia tu
 
Back
Top Bottom