Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwongozo Satellitte city NSSF Kigamboni
7-18.jpg
5-23.jpg
5-23.jpg
CHR4MHMWgAAJ024.jpeg
CHR-YtgW8AATnP0.jpeg
CHR7SFTWIAAOSlL.jpeg
CHR7AQVWIAAE46b.jpeg
6-20.jpg
 
😀😀😀 nyinyi mlichezwa😀😀
Sijui ni ngombe gani iliwadanganya that investors wote kenya ni foreigners. But ungekuwa an intellectual ungejiuliza why does kenya have the largest FDI in Africa. Kenyan FDI in Tanzania alone is more than $20bn and i don't know how much you have invested in kenya. In any case its tanzania that is full of foreign investors. What makes you think we cant invest in our own country
Hvi we unaijua 20 billion usd?????? 😀😀😀
Naona hua unaropoka tu
Kumbe hujielew bado
Na uniletee source kua 20billion usd imeekwa na wakenya tanzania na sitakuachia juu ya hili mpaka tufunge biashara na mm na wewe
 
nimeuliza juu ukitaka on-going projects niko nazo nyingi sana hautaamini. tread carefully. wenzako kina kidoda na jichoboy walikuja wakatulizwa
Ulimtuliza nani wewe acha kujisifu mzee wa diani uliishia wapi????😀😀😀😀😀
Diani ilikushinda utamtuliza nani
 
We are so good mpaka they have to be singling us out and chase us out in their country jus because we are there to take their top jobs,how many kenyan companies are listed in their DSE?
Hebu zitaje alaf tuanze kuchunguza moja baada ya moja😀😀😀😀😀
 
Tafuta ikwapi dar ukiikuta njoo uniue lakini baba wa slum duniani @ nairobi😀😀😀😀😀😀😀
Yani wakenya ni bora mukae kimya kwenye slums maana muna maisha ya kuzimu

List of slums - Wikipedia
Wewe Nairobi wanahadi Hospitali ndani ya slum.Sisi huku watu wanaanzisha hospitali nzuri lakini wengine wanafungia na serikali. Lakiona hii hospitalit wanafanya hadi oparesheni yakutaili wanaume na kukata visimi wanawake. Nairobi hapo. Hivi Kenya kuna serikali.?? Nasikia ma nurse wahi hosipali pia wapo kwenye mgomo wakuongezewa mshahara
downloadfile-22.jpeg
downloadfile-22.jpeg
 
Wewe Nairobi wanahadi Hospitali ndani ya slum.Sisi huku watu wanaanzisha hospitali nzuri lakini wengine wanafungia na serikali. Lakiona hii hospitalit wanafanya hadi oparesheni yakutaili wanaume na kukata visimi wanawake. Nairobi hapo. Hivi Kenya kuna serikali.?? Nasikia ma nurse wahi hosipali pia wapo kwenye mgomo wakuongezewa mshaharaView attachment 525998 View attachment 525998
Safi sana mulisaaa speed yako zaidi ya 4G watanyooka tu
 
Wewe Nairobi wanahadi Hospitali ndani ya slum.Sisi huku watu wanaanzisha hospitali nzuri lakini wengine wanafungia na serikali. Lakiona hii hospitalit wanafanya hadi oparesheni yakutaili wanaume na kukata visimi wanawake. Nairobi hapo. Hivi Kenya kuna serikali.?? Nasikia ma nurse wahi hosipali pia wapo kwenye mgomo wakuongezewa mshaharaView attachment 525998 View attachment 525998
Yani wanamaisha yakuzimu mm sijawah kushuhudia maisha kama haya tanzania
 
Back
Top Bottom