TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Atavifungulia si unajua mzee ye anataka heshima tu... Kwanza dogo maji yamemfika shingoni yule magu atakaonea hurumaPoopo! popo! popo! poo! poo!,
wameinama
popo!,
wameinuka,
popo!,
wanaona haya hao x 2
Ninavyoiona hii Magu anaweza kuwafungia vioo mpaka serikali nyingine ya Kenya itakapo kuja, 2023 huko.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app