Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
[emoji3][emoji3][emoji3]Jpm anasema nimewacheck,nikawaangalia nikasema hiiiiiiiih
uhuru aeke kalamu chini nchi imemshinda 👇👇👇
Poopo! popo! popo! poo! poo!,hawatakupa jibu wanaona aibu.... Kwa ninavyomjua mzee baba walahi anaweza akawakazia
Ninavyoiona hii Magu anaweza kuwafungia vioo mpaka serikali nyingine ya Kenya itakapo kuja, 2023 huko.
hospital zao unaeza sema ni mazizi ya ngombe maana hawana utu kabisa 😂Hahahaha hii ni hospital au kiwanda cha kuchakata ngozi?, 😂😂😂
[emoji3][emoji3][emoji3]Jpm anasema nimewacheck,nikawaangalia nikasema hiiiiiiiih