Taarifa ya SGR ameshapewa fasta pale chemba, kumbuka waliingia chemba kwa kama dakika 5 hivi kabla hawajaibgia ukumbini.leo anapokea taarifa mbili mbaya sana..
1. bomba la mafuta
2. ujenzi wa SGR (hapa napenda Magu alichomekee hili jambo, then amwambie kabsa M7 live adharani na yey ajenge SGR ya kuelekea TZ)
Leo sept tarehe kumi na tatu nionyeshe nani ame issue letter yyte ya maandamano kuhusu mishaharaso munalipa wafanya kazi mwanzo wa mwezi manake mshahara wa sept munalipa tar 1 sept [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww hua hukubali kushindwa daima
naona dawa imekuingia vzr 😂😂😂tungoje tuone ipi itajengwa kwanza....nyinyi na uganda mmeishi kusign na kuzindua ila hamna kitu kinasonga
Today ni date 13[emoji23][emoji23][emoji23]kwan hua munatoa salary mwanzo wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1567569
Hahahaha! Pale chemba kulikuwa na jambo.Taarifa ya SGR ameshapewa fasta pale chemba, kumbuka waliingia chemba kwa kama dakika 5 hivi kabla hawajaibgia ukumbini.
nakuonesha ya mwezi uliopita manake hawajalipwa bado wanalia na nchi imekufa 😂😂😂👇👇👇👇Leo sept tarehe kumi na tatu nionyeshe nani ame issue letter yyte ya maandamano kuhusu mishahara
jibu swali hua munatoa mshahara wa mwezi wa tisa mwanzo wa mwezi???😂😂😂Today ni date 13[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza kuchange gear baada ya kuona umekosa tweet ingine..jibu swali hua munatoa mshahara wa mwezi wa tisa mwanzo wa mwezi???[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshahara wa august kwhyo wanadai walipwe august 21st[emoji23][emoji23][emoji23]jamani jamani jamani..tweet zinakupotezanakuonesha ya mwezi uliopita manake hawajalipwa bado wanalia na nchi imekufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1568667
Mshahara wa mwezi uliopita kw sasa inatakiwa watu wamelipwa tayri..jibu swali hua munatoa mshahara wa mwezi wa tisa mwanzo wa mwezi???[emoji23][emoji23][emoji23]
walipwa vp wakat watu wanalalamik mwezi wa nane tarehe 23 manake kuna mshahara wa mwezi wa saba hawajalipwa hapo 😂😂 dont think people are stupidMshahara wa mwezi uliopita kw sasa inatakiwa watu wamelipwa tayri..
Kumbe hata hujui watu hku wanalipwaje, kila sekta iko na siku zake..uache kudandia tweets zinazoongea mishahara hata usiojua ni ya miezi gani
Mbna hawalalmiki wa mwezi wa nane na wakati tayari sai ni tarehe 13walipwa vp wakat watu wanalalamik mwezi wa nane tarehe 23 manake kuna mshahara wa mwezi wa saba hawajalipwa hapo [emoji23][emoji23] dont think people are stupid
Nimemskia president kasema about 60% Tz -40%UG ratio...hii ni ile $12 kwa pipa price au ni benefits gani tutazogawana 60% kwa 40%...kama umeelewaWazee wa Majungu wameanza kuugulia
And this means Tz will be gaining Dola Laki tatu na nusu 350k USD per day ..and not 2.4mil usd ambayo ni 12$ x 200k barreles in dayWazee wa Majungu wameanza kuugulia
From a blogger as a source sio?And this means Tz will be gaining Dola Laki tatu na nusu 350k USD per day ..and not 2.4mil usd ambayo ni 12$ x 200k barreles in day
No..President said himself na pia kalemani kasema kwenye tukio la leo..na nmeskiaFrom a blogger as a source sio?
evidence?No..President said himself na pia kalemani kasema kwenye tukio la leo..na nmeskia
Hehe geza leo hujaskiliza speechevidence?