naumwambie kama ....hapo si wote madkini wapo kibao wanaojiweza.....sema unplanned tu
Nimeamua kumwambia hivyo ili aone Dar pabovu na Nairobi pabovu aone kama hawashindi ligi ya maeneo ya hovyo


naumwambie kama ....hapo si wote madkini wapo kibao wanaojiweza.....sema unplanned tu


darislum ni 92% ya 1590km^2Nimeamua kumwambia hivyo ili aone Dar pabovu na Nairobi pabovu aone kama hawashindi ligi ya maeneo ya hovyo![]()
is this a mtaa or a whole district?
darislum ni 92% ya 1590km^2
Nairobi ni 6% ya 696km^2
who is fooling who?
darislum ni 92% ya 1590km^2
Nairobi ni 6% ya 696km^2
who is fooling who?
Mbona unaludia majengo Yale Yale Hamna mapya uko au project mpya au sehemu mpya za starehe. You need to be having something newAll buildings in Westlands have such an amazing design View attachment 525895 View attachment 525896 View attachment 525897 View attachment 525898 View attachment 525899 View attachment 525900 View attachment 525901 View attachment 525902 View attachment 525904
Endelea kuota ipo proposed na pia keep on dreaming about not having 40 floors at Kawehii project bado iko proposed.
taratibu utanyooka tu
umeelewa lakini??? 92% of you munaishi kwenye izo nyumba za kusengenyana za kiswahili zisizo na dariFooling me about what?where did you get these percentages from?
Did you understand what I asked?I want you to show the slums in Nairobi coz you said that we're hiding the pictures of our so called 'the real Dar'
tulikuwa kwa Avic mara ukaruka kwa on-going construction kisha sasa uko kwa proposed...... rudi kwenye line.Endelea kuota ipo proposed na pia keep on dreaming about not having 40 floors at Kawe
Nije na cost wewe mganga?? Unatoka ukaloge?? Okay Tshs 200/= umelizika??good. kuja na cost ya ii project.
umeelewa lakini??? 92% of you munaishi kwenye izo nyumba za kusengenyana za kiswahili zisizo na dari
Okay I got no source I was day dreamingtulikuwa kwa Avic mara ukaruka kwa on-going construction kisha sasa uko kwa proposed...... rudi kwenye line.
kuja na source inayosema Kawe City wanajenga 40*4 flrs. kumbuka hatuko kijiweni hapa.... usiniangushe
no. kama ww ni mganga basi si kila umuonae ni mganga. hizi project ni nyingi kama vile nilivyokwambia... tunataka kujua how worthy it is.... ivi ndivo si hujadili hapa....Nije na cost wewe mganga?? Unatoka ukaloge?? Okay Tshs 200/= umelizika??
Slum tours in Dar es Salaam TanzaniaNisielewe kipi sasa..nimekuuliza hio percent umetoa wapi?au ni hisia zako tu
One thing forgotenKulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
ujue hawa wakenya wanajua tanzania imelala.....na kinachozidi kutokea na kuendelea nikuwa charaza kimya kimya na hako kabairobi kao.....