[emoji38] [emoji38] [emoji38] halafu ng'ombe mmoja anaitizama tz kama anaangalia picha ya babu yake ukutani.Kumbe (kwenye video 3.31min) kusafirisha kontena kutoka Dar - Kigali kuna nafuu ya $500 kuliko kupitia Mombasa?
imagine mtu anabeba mpaka sumu[emoji3][emoji3].Njaa mbya sana
Wishiful thinking
Unaongea ni km kagame kamuoa bibi yako kule kijijini.Kama kuna mradi muhimu kwa Rwanda sasa hivi ni huu wa SGR, Kagame yupo radhi kusimamisha kila kitu kwa ajili ya mradi huu.
😄😄😄PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
jamaa sijui hajui kuwa wawekezaji wa viwanda vipya wanaangalia sehem yenye upatikanaji wa umeme mwing wa uhakika... sijui hajui SGR, viwanda vya kusafisha madini, migodini etc zinahitaji umeme wa uhakika! kiufupi usipoteze mda juu yake
He ia either the dumpest person on Earth or an Extreme CCM antagonist
Jiwe kaua sekta binafsi hasa ya ndani ya nchi,pesa zote kapeleka kwenye miradi tembo mweupe na hazijatosha na kakopa kuliko president yoyote katika historia ya Tzn ndio maana unaona hana uhakika wa kupita matumaini yake ni policcm,necccm nk ila kila sehemu watu hawamuelewi na audio zake za sgr,ndege ,stiglaz yaani kachuja hadi huruma.Ndio sasa mnaelewa kati ya inchi tajiri na maskini....construction boom yenu hata haikuenda zaidi ya miaka mitano,lakini yetu ni kutoka 1968 hadi sasa tunaendelea tuView attachment 1556912
We wa wapi, mpunga wa ksh 28 ndi wa kumsifia mtu jamani..ksh 28 inakutoa jasho kavu mpaka unaishia kulala njaa.
umeona mwenzako kule juu yuko twitter analiga business ya unga kutoka tz, wewe ukikula jeuri yako hapa na maneno zq bei chee.
Ndoto pasipo na kitandaPK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
Yani kwaPK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.
Oktoba tunaondoa hii laggage
Mbna za siku mbili zilizopita hukuleta km sio unafiki..ama ni wale unachungulia ukiomba ifike mia na kitu ndio uje utunengulie na khanga za ccm..My ' prophecy' has started to materialize [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]
mbona Kagwe hatangazi tena?Mbna za siku mbili zilizopita hukuleta km sio unafiki..ama ni wale unachungulia ukiomba ifike mia na kitu ndio uje utunengulie na khanga za ccm..
Ona aibu ya maccm kuifanya nchi yote kujaa slums tupu,kazi gani maccm yanaweza kama kupimaviwanja vya makazi tu ya watu wake hawawezi.
Hili linawezekana tu kama wataacha miradi yao ya tembo mweupe ya sgr,stiglaz ,mindege ,masteni nk la sivyo hii ni ndoto maana toka Magu adanganye kuunganisha nchiyote kwa lami hadi leo hii hakuna cha maana kimefanywa na mbaya zaidi hatumchaguiIlani ya CCM upande wa Barabara naona wameamua kama noma na iwe Noma
2020-2025 View attachment 1560529View attachment 1560530