Huyo jamaa ni mjinga sana, yaani mpaka hapo ameharibu, he is trying to be on top of everything and everyone, yaani anajihakikishia ushindi kabla hata ya Mechi, poor Kenyans..Shida ya Kenya ni kutaka kuwa hub huku wakicompete na jirani zake Ethiopia na Rwanda halafu anamletea uhuni na dharau jirani yake mwenye soko kubwa kuliko wote EA
Watasbr sasa this time lazima wakubali ATCL nayo iingie Kenya ili wao warushusiwe kuja TanzaniaHuyo jamaa ni mjinga sana, yaani mpaka hapo ameharibu, he is trying to be on top of everything and everyone, yaani anajihakikishia ushindi kabla hata ya Mechi, poor Kenyans..
Sent using Jamii Forums mobile app
source gazeti😂😂😂
komora096 njoo uchukue bakora zako ukapumzike 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
View attachment 1560307
Kenya Airways Looking To Return Some Leased Aircraft Early - Simple Flying
3 chakavu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]kwisha Kazi...watabaki na ngapi vile 3 ama 4?
Tatizo la wakenya lipo kichwani, hawa jamaa hawajui nini wanataka na kitu gani kitatokea kesho yao na jinsi gani wajikinge, kwa kifupi ni watu wa hovyo sanaaShida ya Kenya ni kutaka kuwa hub huku wakicompete na jirani zake Ethiopia na Rwanda halafu anamletea uhuni na dharau jirani yake mwenye soko kubwa kuliko wote EA
Kuruhusiwa kuingia Kenya halijawahi kuwa ni tatizo, ATCL imeiweka route ya Nairobi Katika hawamu ya nne ianze baada ya kupokea Airbuszingine mbili, sasa hivi hatuna ndege za kutosha, hatujakatazwa kwenda NairobiWatasbr sasa this time lazima wakubali ATCL nayo iingie Kenya ili wao warushusiwe kuja Tanzania
Wacha kujisadikisha ATCL haina permit ya kutua JKIA bado! kuweka route kama future plan haimaanishi muda ukifika unatua! source ya figisu ya hii dispute inaaanzia hapo! Na GoT inapaswa kung'ang'ania routes zote za Dar-Nairobi, Kilimanjaro-Nairobi, Arusha-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Zanzibar-Nairobi, Mwanza-Nairobi na Mbeya-Nairobi! Isiingie makubaliano bila ya kupewa permit ya routes hizi!Kuruhusiwa kuingia Kenya halijawahi kuwa ni tatizo, ATCL imeiweka route ya Nairobi Katika hawamu ya nne ianze baada ya kupokea Airbuszingine mbili, sasa hivi hatuna ndege za kutosha, hatujakatazwa kwenda Nairobi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako Geza ulole wakati fulani unapenda kuzungumza vitu toka kichwani mwako bila ushahidi wala uhakika wowote ule, mkurugenzi mkuu wa ATCL alishatoa maelezo kuhusu route ya Nairobi, wewe haya unayosema yametoka wapi?Wacha kujisadikisha ATCL haina permit ya kutua JKIA bado! kuweka route kama future plan haimaanishi muda ukifika unatua! source ya figisu ya hii dispute inaaanzia hapo! Na GoT inapaswa kung'ang'ania routes zote za Dar-Nairobi, Kilimanjaro-Nairobi, Arusha-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Zanzibar-Nairobi, Mwanza-Nairobi na Mbeya-Nairobi! Isiingie makubaliano bila ya kupewa permit ya routes hizi!
Hii ya Chalinze - Moro - Dodoma ingepigwa double road ingekuwa poa sana. Haipendezi unatoka DSM na njia nane then chalinze mnaanza kupishanaIlani ya CCM upande wa Barabara naona wameamua kama noma na iwe Noma
2020-2025 View attachment 1560529View attachment 1560530
wakurungu hapo akili zao zipo kati hapo 😂😂😂 Mungu kaumba matundu 7 ila mawili yatatutia lawamani
Chalinze ni mbali na mji sana bado hawajachelewa kikubwa miaka mitano ijayo wawe wamefika Chalinze kwanza...Ukiangalia utaona wanaanza na Moro-Dom kutanua iwe njia nne kwahyo kipande kilichobaki ndio hicho cha chalinze -MoroHii ya Chalinze - Moro - Dodoma ingepigwa double road ingekuwa poa sana. Haipendezi unatoka DSM na njia nane then chalinze mnaanza kupishana
wakurungu hapo akili zao zipo kati hapo [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu kaumba matundu 7 ila mawili yatatutia lawamani
Ni double roadHii ya Chalinze - Moro - Dodoma ingepigwa double road ingekuwa poa sana. Haipendezi unatoka DSM na njia nane then chalinze mnaanza kupishana