Nyie wajanja route zimewashinda wanapiga waumeMmetutesa maika mingi sana nyie ngedere kutuharibia kwenye media, tumewaamulia sasa msianze kulia lia mliyoyataka mtayapta . tulihisi nyie majirani wema kwa miaka mingi tumekuwa tukiwaangalia tu mnajitanua. Sasa mtakula udongo safari hii hatucheki na nyani.
Hili ni shamba la viazi ama?heheh wazee wa GDP [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1558968