Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli anataka hicho kipande cha Makutupora - Isaka wajenge jeshi?

Dah hii itakua bonge la project, kutoka Dar kwenda Mwanza itakuwa simplified sana ila pia Airtanzania itakula kwao kidogo since ndio their profitable route.
Kwanini unaukiza Kama anataka kutumia jeshi mkuu?
 
Kama miungu wao mabeberu wametii kwa tz unategemea nyangau afanye nini zaidi ya kuufyata [emoji23] ndiyo kwaanza mwezi wa 8 wa mwaka we waache huu mwaka watatii tu kama nilivyo waambia wakawa wanakejeli
 
Niliwaambia huu mwaka mtatii hadi mabeberu watatii
Wewe jidanganye hapo kibera kuwa jf itabaki kimya maana kila siku watz tumeonyesha vision ya hali ya juu kila tulicho sema kimekuwa kweli hats komora096 anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…