Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana. Mwendokasi sio nyingi kama magari madogo na uelekeo mmoja. Magomeni zinapita chini na kuko vizuri sana, muda mwingi hakuna hata muongoza magari.
Kumbuka kuna brt itakayokatiza hapo ya kupitia Nelson Mandela road
 
Exactly, kama ulishakua mtumiaji wa barabara ya kukatiza ubungo kati ya mwenge na river side utaelewa kuwa BRT ni lazima ipite juu la sivyo hiyo mfugale itakuwa imenufaisha upande moja tu na wasipoweka flyover ntakua mojawapo ya watakaopiga kelele za huo uzembe kila mara
 
Itapita hapo kama zinavyopita magomeni. Na magomeni hakuna foleni inayosababishwa na mwendokasi.
Nyomi ya usalama huwezi fananisha na tazara chief na pia kumbuka kinachosaidia magomeni ni u-turns ambazo hazipo tazara
 
We sema mezoa WaTz waliokua wakiponda nchi yao, now wengi wameamka na wengine wamekua inspired na Magufuli so hamna wa kuwasupport kuitukana Tz
 
Nyomi ya usalama huwezi fananisha na tazara chief na pia kumbuka kinachosaidia magomeni ni u-turns ambazo hazipo tazara
U-turns ni utaratibu wa brt ikijengwa hapo zitawekwa tena kutakuwa no-right turn kitu kitakachopunguza zaidi foleni. Kwani brt mfano ikitoka national stadium kwenda ubungo ikipita hapo inazuia magari gani wakati ya mjini yanapita juu?
Kinachoongezeka hapo ni waiting time ya brt ya city centre to airport ambazo sio nyingi kama magari ya kawaida.
 
Usifananishe Morogoro road pale Posta na junction ya Ubungo. Pale Posta ni blind spot sio kama Ubungo.
Mfugale hadi kesho imenufaisha upande mmoja nakushangaa unasema brt italeta foleni Mandela wakati foleni ya Mandela iko pale pale hata brt hakuna. Source ya foleni ya Mandela ni buguruni junction.
 
Still kwa u-turns hiyo njia hazitasaidia kiviile maana ina magari mengi sana ya mizigo, kumbuka usalama magari ya mizigo ni machache sana. Kwa vyovyote vile the best approach ni kunyanyua flyover katikati ya hizo mbili kama wanajali future ya hiyo junction
 
sasa kama bado kuna foleni halafu ukaongeza lane ya kukatisha si ndio utaongeza foleni zaidi?
 
Kwani sasa hivi mbona kuna foleni? Kuna brt? Unajua kwanini kuna foleni?
 
sasa kama bado kuna foleni halafu ukaongeza lane ya kukatisha si ndio utaongeza foleni zaidi?
Itaongezeka foleni ya kusubiri brt ipite for half a minute. Sio ile ya kusimamisha upande mmoja nusu saa kuruhusu gari za airport au Mandela zipite.
 
Just imagine ungekuwa Barca ushapigwa sita hala unaambiwa kuna option ya kumaliza mechi dakika ya 70 utafanyaje. Nondo zinazokuja si mchezo na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu
 
Ingekuwa poa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]we haujielewi.......

huo ndiyo ukweli halisi
Si tatizo lako shibe[emoji23][emoji23]
Wewe itakua ni wale wa kulelewa, bora ule ushibe tu mengine Mungu anajua[emoji122][emoji122][emoji122]..
Njoo nikupe jimama likuweke, bora ujitume ndio asikutimue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…