Huyu atakuwa ni yeye tu piga ua
Mbn bei ya acre ya shamba ni kubwa hv 250k? Duuhh hilo shamba au mgodi.Hizo 52 anazitoa wapi
Wakenya bhnAngalia hapo juu Hadi viatu vimetumika kama Urembo, siku anapika msumari ukiachia huko juu viatu vinaongezea mchuzi kwenye sufuria.
Halafu hapo Baby akipiga Video call anakuuliza baby unafanya nini store?
Kumbe ndio Bathroom, Kitchen, Dinning room bedroom all in one room.
2314 usd kwa acre tena huko porini... That is too much, huku kwetu mtu akizidisha 215usd per acre si nunui labda liwe ndani ya mjiHizo 52 anazitoa wapi
Broker kasema hiyo ni throw priceMbn bei ya acre ya shamba ni kubwa hv 250k? Duuhh hilo shamba au mgodi.
Broker kasema hiyo ni throw price