Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

0.2% ya Kenyans ni wazungu, sawa na 103,000

65% ya ardhi nzuri yenye rutuba ipo mikononi mwa wazungu 36 pekee

Wacha kudanganya watu
Enda ukafunze hiyo kwa wajukuu wako.
Kericho Kenya
Farms owned by Kenyans.
People come together as a village to for a sacco.
Each family donates it's farm.
The sacco builds the tea factories,
The Sacco forms settlement schemes.
The rest of the land is turned to tea plantations.

Isn't Kenya beautiful!?
 
Hii picha amepost wanjala imenstua kdg kwn kuna ujenzi unaendelea hapa, je ni ujenzi gn ukiacha hiyo interchange wajuzi mnisaidie hapa[emoji116][emoji116]
 
Juzi Uhuru kujitokeza na kupinga Mapinduzi ya Mali imeonyesha wazi kuwa ana wasi wasi mkubwa wa Mapinduzi dhidi yake.....anajua kabisa ame fail na hata hutuba ya jana iliashiria yote hayo.....Kunya iko katika hali mbaya sana Kiuchumi,na Serkali aina umoja..makamu wa Rais hana joint na Rais..Rao nae ana madaraka makubwa yasiotambulika kikatiba...Kenya imefeli na huu ni wakati mzuri zaidi kwetu sisi....na Kama sio kumpa Rao hako kacheo kasikojulikana Serkal ya Uhuru isingekuepo mpaka sasa....Huu ni mda wa kuwatawala.
 
Kwa leo umehangaika. Ulidhani Kenya ni Nairobi tu. Hii Kakamega wapi hebu nielimishe!? Maana mimi mkaazi na sipajui.
Kama hupajui ....mm siyo instructor sorry...mnakaa ushagoo na mko na kelel mingi..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti Kakamega ipo Kisumu. Hahahahaha. Mafala. Eti huduma!? Internet, we kweli. Hii sio Tanzania. Niko Kakamega.
Internet ni 4G. Cha maana nikwamba natumia Village Wifi. As you can see here on my screen shot. When will your village have free WiFi!?
 
Raisi hata ofisi za serikali hazijui kwa majina, sawa sawa na Magufuli aseme PSPF badala ya TRA ametia aibu sn aisee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbn bando ni bei rahisi sn wanjala, hio free wifi kwa mwalimu km ww huoni unaihujumu nchi yako? Hizo free wifi huku kwetu ni kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…