The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Utawaua baba wao wakionesha picha zao wanazosema ni mjini unakuta miti kushoto kulia [emoji3][emoji3][emoji3]It seem your city is too far from big things[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]just to show a fewView attachment 1545790View attachment 1545791View attachment 1545793View attachment 1545795View attachment 1545796View attachment 1545801View attachment 1545802
Angalia utopolo unaongea hapa komora.Dar inaingia mombasa kimiundombinu[emoji848]
Kuhitoa ufahamu pia sio mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]Yn wewe komora ndiyo the dumbest creature in this forum, haya niambie hyo devolution iko wp.
Uchungu mbaya0.2% ya Kenyans ni wazungu, sawa na 103,000
65% ya ardhi nzuri yenye rutuba ipo mikononi mwa wazungu 36 pekee
Wacha kudanganya watu
We komora ni mwanamke wa ajabu sana yn hata huyo mr. Wako ako na shida mob mana mkewe hajitambui kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]Kuhitoa ufahamu pia sio mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuletee sai counties after and before katiba mpya
We umetokea mpakani banaHata uguess vipi hutaweza patia nimetokea wapi
Miaka miwili sasa kuhusu sakata la korosho, mliandama mara ngapiSs cc hatupo hvyo ndo mana tunawashangaa, cc co wanyama km ninyi, mTz wa Dar akickia mTz wa Lindi hajalipwa pesa yake ya korosho roho inamuuma na lazima aseme tofauti na nyie ni wabinafsi sana mara nyingi humu kina teargass wamekuwa wakiiponda Mombasa as if haipo kenya nawe pia mara nyingi umekuwa ukiikataa nairobi, kwa style hyo msitegemee kuungana na Tz eti EAC never, yn mtuletee ufalamanga wenu I reiterate never!!!!
Mbna swali rahisi linakushinda jombaWe komora ni mwanamke wa ajabu sana yn hata huyo mr. Wako ako na shida mob mana mkewe hajitambui kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kujivunjia heshima kaa kimya.😁😁😁Manake niseme hutaki kuacha ujinga ni,
Hii ni Bukhungu Stadium some few years ago.
View attachment 1545724
Now Bukhungu is under construction to be an international stadium.
View attachment 1545725View attachment 1545726
So next year tukipost Bukhungu, Wewe utashinda na hiyo picha ya kitambo!?
Hata mimi nikipost picha toka Dar, huwa nachukua latest. Sababu hiyo ndiyo uhalisia.
Kakamega before devolution was like this
View attachment 1545727
But now there is order. Same to all regions of Kenya that have changed the last 10 years after devolution.
Kakamega sahi hamuwezi.
View attachment 1545730View attachment 1545731View attachment 1545732View attachment 1545733View attachment 1545734View attachment 1545737
Wamelipwa hawajalipwa?Miaka miwili sasa kuhusu sakata la korosho, mliandama mara ngapi
This is Kenya, where lives of citizens have nor value
Babake Kipyegon Kenei angali anasaka majibu kuhusu kifo cha mwanawe
Wapi hko, na wakati kila mwezi unaskia kauli ni zile zile za kutenga helaWamelipwa hawajalipwa?
Hatua alizochukua uhuru kupambana na covid-19 ni km mamluki na wala co mkenya mzalendo aisee, yn hatua alizochukua ni km ana visasi na Wakenya, hatua alizochukua uhuru hakuna nchi yoyote duniani iliyochukua yn kenya itaharibika mno na wasipoangalia wanaingia tena kwenye vita na safari hii hakuna wa kuwaamua tutawaacha wachinjane km Rwanda ili cc tukawatawale isitoshe baba yao msuluhishi wao ameshakufa na hawajaja kumzika we ngojea muone laana itakayowapata soon.
Wakenya wameanza kutambua hilo na ndio maana wale waliokuwa wanamkejeli JPM sasa hivi akili zao zimeanza kurudi na kuona kuwa JPM alikuwa sahihi kutosumbua raia,Hatua alizochukua uhuru kupambana na covid-19 ni km mamluki na wala co mkenya mzalendo aisee, yn hatua alizochukua ni km ana visasi na Wakenya aisee, hatua alizochukua uhuru hakuna nchi yoyote duniani iliyochukua yn kenya itaharibika mno na wasipoangalia wanaingia tena kwenye vita na safari hii hakuna wa kuwaamua tutawaacha wachinjane km Rwanda ili cc tukawatawale mama baba yao msuluhishi wao ameshakufa na hawajaja kumzika we ngojea muone laana itakayowapata soon.
Watakao kuwepo miaka ijayo mambo yatakua wazi . Maana hapa kuna jambo nyuma ya corona kwa approach tuliochukua labda Mungu alituepusha . Mimi mwenyewe barakoa nilivaa juma moja na sikuacha kufanya kazi zangu tangu mwanzo wa corona hadi hii leo1
Mwengine huyo apo [emoji115][emoji115] kakubali Tz hamna corona [emoji3][emoji3][emoji3]hapa nakuunga mkono
Wakenya wameanza kutambua hilo na ndio maana wale waliokuwa wanamkejeli JPM sasa hivi akili zao zimeanza kurudi na kuona kuwa JPM alikuwa sahihi kutosumbua raia,
Hii thread kwa link ilifunguliwa na mkenya aliyeanza kujitambua na kuona kuwa mbinu ziilizochukuliwa na uhuru hazikuwa nzuri kwa wananchi wa kenya.
Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania
anza hapa kwanza 👇👇👇👇One street village
Kwa Tz hii ni Dar pekee ndiyo maeneo mengi watu wamejenga hovyo wanavyojua wao lkn maeneo mengi nchi hii wamezingatia ramani ya eneo husika mfano nilienda wilayani Liwale mkoani Lindi hebu fikiria ni kijijini kabisa kule lkn watu wamejenga kimitaa yn safi kabisa japo hakuna nyumba kali km za Dar lkn wamejitahidi sana kujenga kwa kufuata ramani [emoji116][emoji116]anza hapa kwanza [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1545835