Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnalichukuliaga Bomba la mafuta ghafi la Uganda poaeeh?
Silioni kwenye list!
 
Wasamehe bure mkuu wana msongo wa mawazo hao.
Kwa namna Serkali yao ilivyo kwa sasa ni lazima uwe na hasira all the time...maisha ya mwananchi wa chini Kunyaland ni magumu saana..vijana km hawa tunaosumbuana nao huku hawana Ajira na wakiiangalia viongozi wao wanaiba mpaka michango ya damu ya kujitolea...lazima uwehuke....
 
Acha pupa na hasira. Angalia tena hiyo street, ujue ina nini na nini kabla kunijazia vipicha hapa.
 
Km Dar ni km nyumbani hebu wape neno Wakenya wenzako wasio na exposure waambie uyaonayo hii Dar mpya ucwafiche kwa kigezo cha uzalendo [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha. Bana wee. Hebu nisiseme. Msije kunifukuzia dadangu anachuma zake pale Dar.
 
Spare my mouth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...we know for demn sure kunyans and slums are together forever[emoji16]View attachment 1544779
This is my Ushago. Show me yours!?
Am leaving in Kakamega. My house has unlimited WIFI connectivity, water and electricity. I enjoy good roads better than those in your City Dar es Salaam.
This is my Ushago. Kakamega Town.
 
kuna mtu kasema kenya haifatilii mambo ya Tanzania... jaribu kusearch #SIMBADAY2020 muone nani wanaizungumzia hii sana [emoji1241][emoji1377]
 
Nimewapa hii hawajaamini kama ni Kakamega
View attachment 1545258View attachment 1545259
Wanjala unamuongopea nani wewee, kenya nzima ni uharo tu picha unazoweka hapa tunazijua ulichofanya ni kupaka shedo tu na kuchukua baadhi ya maeneo ambayo angalau kdg yana muonekano mzuri but mbele kdg tu ni uharo na bati after bati km kawaida.

Kakamega hiyo hapo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
The village I was born in. Kimilili has better roads than any of your cities.
View attachment 1545252View attachment 1545254View attachment 1545256View attachment 1545257
Ushuzi mwingine huo hapo unaitwa kimilili, yn wanaposema Tz has the most urbanized regions across EAC tuwe tunaelewana, hawa wengine maendeleo yameji concentrate kwa mji mmoja tu kwengine ni shuzi la tembo.

Kimilili hii hapa ambayo wanjala anaicfia ina better roads [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…