Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga dogo hakuna tanzanian english wala kenyan english,mbona mnakuwa wajinga hivyo,huko shuleni ndo mnafunzwa hayo matakataka..kenyan english!!!
 
Hehehee!!kujeni muone pimbi hku[emoji23][emoji23], analinganisha kitisuru na masaki kisha eti anasingizia foreigners ndio wanaishi[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…