Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Kenya
A view of a shopping mall in Nairobi Kenya
Screenshot_20200817-133851~2.png
Screenshot_20200817-133926~2.png
Screenshot_20200817-220243~2.png
Screenshot_20200817-220300~2.png
Screenshot_20200817-220313~2.png
Screenshot_20200817-220340~2.png
Screenshot_20200817-220353~2.png
 
Unasemaje!? Kama ni hivyo, kwanini
1.Magufuli akihutubia Tanzania,wakenya wanajaza server za social network kwa kujadili hotuba yake?
2.Wasanii watanzania wanaongoza kuandikwa kwenye newspaper na social media zenu,na Kama unabisha tufungue thread nikudhibitishie hili.
3.Wakenya mnajua chakula,nyanya,vitunguu,matunda n.k,vyote vinatoka Tanzania,Sasa utashindwaje kumjua baba wa familia anayekulisha?[emoji3][emoji3]
4.Wachezaji wakenya wanakimbia njaa iliyoko kwenye ligi ya huko nakuja Tanzania ambako Kuna wanaume wengi wenye pesa.
Ni hivi, wakenya hawawezi lala bila kumtaja MAGUFULI,najua hili utapinga lakini ndio ukweli.
halafu anakuja chokoraa mmoja kutoka mathare anakuambia kuwa wao ni matajiri......
wakati uchumi wa nchi yao inaendeshwa na watu fulani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wachache
 
Back
Top Bottom