Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Alafu ukute wengi walioongezeka ni wakenya kwa sababu wanafuatilia ligi ya Tanzania kuliko ya kwao.Kuna mchezaji wao Kacheza kenya miaka 4. Ana folowers 4000
Alipo tua tu bongo ndani ya Siku mbili sasa ana 16000+