Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,254
Kazi ipo, mchezo umeanza kujulikana taratibuWaache ujinga. Msaada wa Jack Ma ni mtoto wa dada yake uhuru ndio aliuzia serikali ya Kenya hizo vifaa. Yani aliuzia nchi yake vifaa ambavyo ni vyao. Hakuna iliovuka kufika bongo.
Ni kazi ya Samantha ngina hiyo. Na hata mama yake mwaka 2015 alipiga pesa ndefu sana kwenye kashfa hapo afya house. Hiyo wizara uhuru kaachia dada yake Nyokabi ajipigie hela tu na familia yake.
Na Kagwe yafaa akaguliwe maana nae zuzu tu anajua kutamka idadi ya namba za walio athirika tu.