komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wambie wanunua cctv pale bungeni dodoma ndio waitwe babu yao kabisaCCM Baba Lao
Hilo halina ubishi
CCM is here to stay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Wambie wanunua cctv pale bungeni dodoma ndio waitwe babu yao kabisaCCM Baba Lao
Hilo halina ubishi
CCM is here to stay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Nani kakuambia Hakuna cctv?Wambie wanunua cctv pale bungeni dodoma ndio waitwe babu yao kabisa
Huu mjadala wenu naufuatilia lkn hapa kidogo imenibidi nipige stop[emoji23][emoji23]Where is your proof that 80% of albino people have normal parents?
Waorodheshe hao wazungu ambao wana dua citizenships hapa kenya..Kenya mliruhusu "Dual citizenshi", kwahiyo wazungu wengi walipo Kenya ni kwa ajili ya maslahi yao lakini sio raia kwa maslahi ya Kenya
Ngoja nikupe mfano, Alfred Mutua ana uraia wa Australia na Kenya, lakini huko Australia hana hata kiatu, ila hapo Kenya anajenga Hotels na anafikiria kugombea urais.
Hao raia wa kizungu hapo Kenya wapo kwa ajili ya kuvuna na kuiba mali za Kanya wakishirikiana na wanasiasa wa Kenya na kwenda kuwekeza kwao. Mo Dewji hana hata ndugu mmoja huko India, inawezekana hata India hajawahi Fika.
Hakuna kwn ni uongo, nani asiyejua km bungeni dodoma hakuna cctvNani kakuambia Hakuna cctv?
Ni upuuzi mtupu.Hii Dual Citizenship kwa Africa tuwe nayo makini sana
Is like I`m just wasting my time arguing with you. YOU CAN`T BE ALBINO IF YOU HAVE NORMAL PARENTS. Please read the second paragraph in this screenshot
View attachment 1539317
ila kenya muna shida sijapata kuona in my life [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole yake jack ma
Kabisa yani, mi naona ni style fulani wameanzisha wazungu kutupunaNi upuuzi mtupu.
Hii ni mbaya sana,wanataka kuiaminisha dunia pia kwamba korona ilikuwa kubwa ama ni kubwa TZ..eti was sold to Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23].. Magu si alikataza kupokea hayo mavitu?? afu pia wote tulikuwa tunaangaika/pambana na Corona afu eti watuuzie?[emoji23][emoji23][emoji23].. napenda waziri Mwalimu akane hili jambo, ili huyo jamaa akaangwe vizur huko kwao
jamaa enh.. tag media za kibongo kwenye hio habari ili habari ienee au mtag mwalimu.. ili Mwalimu atoe comment kama ni kweli au lah.. Tanzania isiwe excuses ya ufisadi wao
Wazingu na wanasiasaKabisa yani, mi naona ni style fulani wameanzisha wazungu kutupuna
😂😂😂😂😂
Waache ujinga. Msaada wa Jack Ma ni mtoto wa dada yake uhuru ndio aliuzia serikali ya Kenya hizo vifaa. Yani aliuzia nchi yake vifaa ambavyo ni vyao. Hakuna iliovuka kufika bongo.
Ni kazi ya Samantha ngina hiyo. Na hata mama yake mwaka 2015 alipiga pesa ndefu sana kwenye kashfa hapo afya house. Hiyo wizara uhuru kaachia dada yake Nyokabi ajipigie hela tu na familia yake.
Na Kagwe yafaa akaguliwe maana nae zuzu tu anajua kutamka idadi ya namba za walio athirika tu.