ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,147
- 3,336
Waingereza wameikataa 5g ninyi kichwa kichwa kama kawa
yaaani ndiyo wako hivyo wapo so rushKwenye ukombozi wa nchi za Africa kipindi cha ukoloni Tanzania ilikuwa msitari wa mbele kusaidia nchi zingine kupata uhuru wakati kenya ilikuwa msitari wa mbele kushirikiana na wakoloni kukandamiza nchi za Africa na hiki kitu hawajafundishwa kwenye somo la historia na wakenya wengi hawajui hii kitu.
Kenya mliruhusu "Dual citizenshi", kwahiyo wazungu wengi walipo Kenya ni kwa ajili ya maslahi yao lakini sio raia kwa maslahi ya KenyaNa wewe hujui kwamba Kenya pia ina raia wa rangi tofauti!? Ama hilo wa hujui!?
Hao ma mbwiga hawaelewi kitu,Hajyi km Tanzania ni nchi isiozingatia Ukabila,Rangi wala Dini,Km ulizaliwa TZ una Haki stahiki za Kuufurahia Utaifa.Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?
Tanzania ni nchi yenye raia wa rangi mbalimbali, weusi, wazungu, washirazi, wahindi, wasonjo etc.
Huyo MO unaye mzungumzia hajui nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ancestors wake walikuja kabla hata nchi yetu haijaitwa Tanzania, enzi hizo za Tangayika na Zanzibar.
FYI chama tawala Tanzania kilitokana na muungano wa vyama viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP).umeshawahi kujiuliza kwanini Ma-Afro na Ma-Shirazi waliamua kukaa pamoja na kuunda chama cha ASP ili kudai uhuru wa nchi toka kwa Mkoloni Mwarabu huko Zanzibar?
Na baadaye wakaungana na TANU ya bara ili kuunda CCM?
Siku nyingine usiropoke tena juu mambo usiyojua vizuri.
I would advise you to borrow a functioning brain in any nearby school cause it seems you don`t have one. Any zoological organism has the ability to lack melanin due to mutations that may take place in its genetic makeup and because of that(Lack of Melanin), albinism arises.Mmmh...Kenya sio nchi ya kwenda, hadi Tembo washapata Corona...hakuna tembo albino..hiyo ni corona kama sio matope[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakunaga ndovu Abino hapa...hapo nilikuwa nina refer hao hapo kwenye Picha.....First, you are confused and second, you don`t understand yourself. Let me quote whatever you said in your earlier post. "HAKUNANGA NDOVU ALBINO" and this is what I replied to. On this picture you have posted here, where did you learn that lack of melanin results in red colour? Or don`t you understand what melanin is? Obviously, as you can see this is either dust or mud.
You are still confusing yourself. You insist" Hakuna ndovu albino" yet in the previous post you accepted that albino elephants are available. Where is your stand?Hakunaga ndovu Abino...hapo nilikuwa nina refer hao hapo kwenye Picha.....
View attachment 1539155
hakuna ndovu Alibino Kenya...full stop..You are still confusing yourself. You insist" Hakuna ndovu albino" yet in the previous post you accepted that albino elephants exist. Where is your stand?
hakuna ndovu Alibino Kenya...full stop..
Weka hapaThere are, sorry for disappointing you.
Kwani zile zenye uliwekewa ni mamako?Weka hapa
Sasa mama anatokea wapi hapa?ama ni adabu ndogo uliokuwa nayo?Kwani zile zenye uliwekewa ni mamako?
Ni hatari sana kuwekeza mahali ambapo hakuna Siasa safi,mda wowote kikinuka ni balaa....mfano machafuko mengi ya Kunyaland yalirisk sana mali za watu,,mfano Wakikuyu waliokuwa wamewekeza Rift Valley na Kisumu walipoteza mali zao na mashamba kwa wingi.Rich Africans See Political Climate as Key Risk, Survey Finds
Wealthy individuals in five African nations including South Africa, Nigeria and Kenya see political instability as a significant threat to the preservation of their assets, according to a report commissioned by Standard Bank Group Ltd.