Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninyi endeleeni kubugizwa takataka za pumba zenye ladha ya maziwa na uhuru mkijidanganya mnakunywa organic milk, kumbe mnakunywa maharage ya soya. [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Eeee...si ngombe dunia nzima wanapatikana tanzanania tu
 
Mkenya wa kawaida hajui lolote kuhusu Tanzania.
 
Rvr pia inafanya kazi. Hata laini kutoka Nairobi hadi Nanyuki imeanza kufanya kazi juzi. Kama unapinga sema nikupe evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…