Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oh my days! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
D35BE9E3-F39C-49F7-A101-8F7FB8EE8186.jpeg
 
Facts always will stand still, That kunyans will never succed to redicule Dar es salaam in anyway simply means it has what it take to be recognized and respected as the hub of East Africa compared to that trush thing
The only thing i see from kunyans is shenanigans
Your English is wanting, stick to kiswhili for easy communication. Si lazima uandike kizungu. Talking of hubs, Dar ni hub ya nini hapa EA? Ama hata maana ya hub pia hujui?
 
The shriving economy where real estate development was hot iliondoka na JK saizi the whole country and private sector iko hoi na kiukweli majengo mengi yaliyojengwa na serikali hata watu binafsi pale posta na kwingineko yako empty maana micro activities zimesinyaa sanachini ya huyu mjamaa
Ndio maana unaweza ona hata pension funds zimeshindwa kumalizima majengo yao kama mzizima,dego estate,nhc imepotea kabisa wala huwezi isikia tena kwenye miradi yao ya kinondoni,arusha nk nk kiufupi hali ni mbaya sana
In Nairobi its not that bad since the private sector is strong and professional services are rising. The only challenge is in Upperhill since the area is inaccessible for most pedestrians. Westlands is doing fine. However, there is an oversupply for high end apartments all over the city,
 
The shriving economy where real estate development was hot iliondoka na JK saizi the whole country and private sector iko hoi na kiukweli majengo mengi yaliyojengwa na serikali hata watu binafsi pale posta na kwingineko yako empty maana micro activities zimesinyaa sanachini ya huyu mjamaa
Ndio maana unaweza ona hata pension funds zimeshindwa kumalizima majengo yao kama mzizima,dego estate,nhc imepotea kabisa wala huwezi isikia tena kwenye miradi yao ya kinondoni,arusha nk nk kiufupi hali ni mbaya sana
Vipaumbele vya JPM na Kikwete ni tofauti Sana, JPM amepeleka pesa za uwekezaji katika viwanda badala ya kujenga majumba marefu ambayo mchango wake katika kutoa ajira ni mdogo Sana, jaribu kufikiria jinsi kiwanda cha ngozi cha gereza la Karanga Moshi kitakavyotengeneza ajira kwa na ulinganishe na jengo la mzizima.
 
Back
Top Bottom