Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

67B3D72A-9A7C-4840-AB03-05F13D5BEF34.jpeg
7069952E-98A1-45F7-A366-29F12DDEBBBF.jpeg
3372D4DA-8BC9-454C-92AE-37EFD4A6CB7B.jpeg
5AB57D70-16D7-48B3-BA32-E799FCDDEC50.jpeg
A6E6B29E-A0BE-41BE-811B-362F1020B99B.jpeg
B98E4037-5DFE-47CE-9557-51D8BA29052D.jpeg
CCCFF573-2956-4337-BE95-1EA588260B52.jpeg
D10D8197-C328-496A-86A3-C7DC9B67C2DF.jpeg
7CC126A6-FC26-4254-B8D1-AD919AD38A9E.jpeg
BEEACC72-F86E-41CE-AF02-4AD0A30CD934.jpeg
92C292FA-032A-471D-B414-AA8DB18A4249.jpeg
 
Mtu kasha jitoa akili hata haja ya kumuliz ni kupoteza mudaa......chizi anacheza n wezakemombasa ni kasehem kwa dar....sasa wanaiaminia sna nairobary vile wanaiona inachakazwa ndio wanaumia na kuanzish mada uchwara kudevide attantion....kunya yote niushuziView attachment 1533710View attachment 1533711
Ni mara chache sana sisi kuhusisha miji mingine ya Tz kwenye hii battle lakini kwa wenzetu kila wakiishiwa pumzi na Nairobi yao wanakimbilia Mombasa. So this battle is Dar Vs Nairobi & Mombasa combined.
 
Makusanyo yote yanaenda kwenye matumbo,mwishwa siku,left right ni madeni,hata barabara ya 1km hamuwezi kujenga kwa pesa yenu,mpaka mkope.alafu unajisifia hapa!
Sio kweli hao ni watu wa kujisifu, mwambie awake link ya serikali ya Kenya yenye kuonyesha viwango vya mishahara ya watumishi wa Kenya, kila siku madaktari na wauguzi Kenya wanagoma kuomba nyongeza za mishahara kutokana na hali ngumu ya maisha, wangekuwa wanalipwa vizuri wasingekuwa kila mara wanagona
 
Back
Top Bottom